Endelea kuwapepeta tayari wametepeta. Kimewaramba hahaa

Nininini! Hao vinyang'unya!

Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto! Mkome kabisa!"

Oktoba? Hilo jambo letu ni moja tu! Kuchukua na kuweka. Tena kwa mpigo! Mama yatosha, nyinyi wengine msubiri pembezoni mkiwa mnaoga na sabuni ya magadi. Msilete haraka haraka za kusumbua watu.

Ombi lenu? Ehee... mkae chonjo, litaangaliwa kwa usahihi. Mkija na ngebe au midomo ya kujifanya munajua hamtapata hata hiyo 30! Na watoto wenu watabaki hewani, hawatakuwa hata kwenye ramani ya mtaa wa Mwembe Mchomeke!

Mshaelewa? Eeh! Twambieni kheri. Si kila siku nyinyi ndo mnapiga meza!

Na bado kitawaramba mbona
Huyu si mmoja wa wale wabunge wa viti maalum waliowahi kuwaita Watanganyika ‘kenge’, pamoja na yule mwenzake?
 
Nininini! Hao vinyang'unya!

Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto! Mkome kabisa!"

Oktoba? Hilo jambo letu ni moja tu! Kuchukua na kuweka. Tena kwa mpigo! Mama yatosha, nyinyi wengine msubiri pembezoni mkiwa mnaoga na sabuni ya magadi. Msilete haraka haraka za kusumbua watu.

Ombi lenu? Ehee... mkae chonjo, litaangaliwa kwa usahihi. Mkija na ngebe au midomo ya kujifanya munajua hamtapata hata hiyo 30! Na watoto wenu watabaki hewani, hawatakuwa hata kwenye ramani ya mtaa wa Mwembe Mchomeke!

Mshaelewa? Eeh! Twambieni kheri. Si kila siku nyinyi ndio mnapiga meza!

Na bado kitawaramba mbona
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Yakipelekwa majina matatu ya wagombea kwenye mkutano mkuu wa CCM huyu divion 4 hatoboi
 
Nininini! Hao vinyang'unya!

Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto! Mkome kabisa!"

Oktoba? Hilo jambo letu ni moja tu! Kuchukua na kuweka. Tena kwa mpigo! Mama yatosha, nyinyi wengine msubiri pembezoni mkiwa mnaoga na sabuni ya magadi. Msilete haraka haraka za kusumbua watu.

Ombi lenu? Ehee... mkae chonjo, litaangaliwa kwa usahihi. Mkija na ngebe au midomo ya kujifanya munajua hamtapata hata hiyo 30! Na watoto wenu watabaki hewani, hawatakuwa hata kwenye ramani ya mtaa wa Mwembe Mchomeke!

Mshaelewa? Eeh! Twambieni kheri. Si kila siku nyinyi ndio mnapiga meza!

Na bado kitawaramba mbona
Halafu ukute

Daa! Unaweza kuta alieandika hivi ni mwanaume!
 
Back
Top Bottom