witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda
Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema
Nilifikiri ni kwangu tu, ingawa wengine wanalike na unaona, ila hata mimi kitufe cha 'like' hakipo....Mkuu bahati yako tu leo JF kwenye mashine yangu sioni like button
Mbona hazifunguki
Ndo naona ati.
Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10
Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote