Endelea kucheka

Endelea kucheka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
373,987
Reaction score
866,066
Nazo nimezipata hapo hapo mahali 1445878079688.jpg1445878099418.jpg1445878114548.jpg1445878159458.jpg
 
Hahahahah kweli umenihamisha kidogo toka huko katika stress za siasa
 
Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema

Ndo naona ati.

Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10
 
Ndo naona ati.

Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10

Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom