Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Katibu Mkuu WA CCM ndugu Chongolo amemwagiza waziri wa Kilimo Mhe. Bashe kwenda Wilayani Mvomero kukagua na kuupatia ufumbuzi mradi wa umwagiliaji wenye thamani ya SHS milioni Tisa ambao umekwama kuendelea.
Kupitia maelekezo haya; Kwanza najiuliza Katibu Mkuu wa chama na Waziri Nani anamwagiza mwenzake? Kwanini masuala ya chama yasiwe na communication channeltofauti na mawasiliano ya serikali?
Unapomwagiza Waziri ndani ya siku tano awe sehemu flani je, Una uhakika gani kwamba ratiba yake IPO free?
Eneo la pili NI kwanini KM CCM asitoe maagizo Kwa viongozi wa wilaya na Mkoa? Au kama wameshindwa kwanini asingetamka wazi kwamba viongozi hao wameshindwa KAZI na hivyo akapendekeza mamlaka ya uteuzi itengue uteuzi wao? Je, kila atakapopita akakuta kasoro atawaagiza Mawaziri?
Mwisho NI gharama za mradi na gharama za waziri kwenda eneo alilioagizwa. Kutoka Dodoma Hadi Mvomero kwenda na kurudi waziri na timu yake awatumii zaidi ya milioni Tisa? Kwamba unatumia milioni Tisa kwenda kukwamua mradi wa milioni Tisa?
Viongozi wanasiasa wameisha ndani ya chama tawala nadhani; Tunahitaji kuwa na Katibu Mkuu anayefanya analysis kabla ya kutamka neno. Tunapaswa kuwa na Katibu Mkuu anayekubalika na mwenye uwezo wakiimarisha chama. Chongolo my brother you can do better, relax.