hao watu unaowashangaa kama wao wanajihisi wako huru kwa shughuli wazifanyazo.Inategemea na uhuru kwako ni nini? Maana ile belief ndo msingi wa hayo yote
Umeandika kwa hisia na siyo uhalisiaHuwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.
Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!
No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 a ako take home nako kasipotee..
Ila akipiga mahesabu anajua hata kujenga hawezi akiendelea hivyo.
Ni kwanini? Ni kwa sababu ndicho kitu ulicho kiona na inabidi ukirudie.
Uhuru wako hauko bound kwa kazi na cheo wala hiyo IST unayoimiliki. Watu wanaingiza katika ndoa just because kaka na dada zao wameoa.
Yaani mtu mzima mwenye akili timamu, unaenda kufanya kitu usicho kipenda kwa miaka 50 straight?
Ndugu zangu, sometimes ni sisi wenyewe tunajitakia, hakuna aliye ishika akili yako na mawazo yako. Kwanini ufungwe katika kifungo cha system za kijamii zenye kukukandamiza nafsi yako?
Unashangaa mtu mzima kabisa, wanafamilia na anaingiza kipato kizuri ila a Nashindwa kujinasua kwa sababu wanaogopa ku take risk...
Hakuna kitu inakuja kirahisi na hakuna mtu a najijua vyema bali wewe,
Katika harakati za kujinasua katika Kurudi kitu kile kile kwa miaka 50 nimegundua ili kutoka lazima u cut off, watu na wewe mwenyewe umchukue risk consecutively.
Uwe na uwezo wa ku choma hata 50M na usijutie maana unakuwa on the right direction. Sasa leo mtu unamwambia risk kama hiyo Anakuona delusional.
No one is coming to save your ass, man up and get out the chains your own mind.
Blue Monday hii Wacha mapambano yaendelee.
The value you are talking about doesn't come from doing robotic acrivitiesHakuna MTU anayonywa ila watu wanakulipa kutokana na Value unayotoa
Ndo maana Dakika anazocheza Messi ni zilezile na wachezaji wenzake ila Messi analipwa tofauti
Is about value you bring on the table.
Ndo maisha ya binadam hapa duniani, hakuna kingine zaidi ya hivi...Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.
Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!
Basi haina shida kwao kama ni kitu ambacho haki waletei karaha maishani mwao.hao watu unaowashangaa kama wao wanajihisi wako huru kwa shughuli wazifanyazo.
hapo inakuwaje sasa?
Hata mimi Sikuwasema hao mkuuLakini kila taifa linahitaji wataalamu engineers, MDs, walimu n.k
Hata kama wanafanya vitu vilevile kwa miaka 30+ tunawashukuru sana kwa huduma zao
Labda ungesema serikali ya CCM iwaongezee mishahara au marupurupu kuwapa motisha zaidi
yani maisha yana ujinga sana, unachokiona hiki bora kwa mwingine si bora.Basi haina shida kwao kama ni kitu ambacho haki waletei karaha maishani mwao.
Napenda kuona mtu anafanya kitu anacho kipenda na sio kwa ajili ya kuingia kifungoni kuplease jamii inayomzunguka.
Nani aliye kudanganya? There's more to life than external validation.. Kuna life purpose kuna sehemu nyingi hauja enda, kuna vitu vingi hamujajaribu, it is limitless mkuuNdo maisha ya binadam hapa duniani, hakuna kingine zaidi ya hivi...
sahihi kabisaYes, ndo maana tunarudi kwenye core belief
Kwa hiyo mfanyakazi akinunua IST na kujenga nyumba kwako unahukumu kama external validation?Nilicho kisema na wale walio ingia for the sake of external validation and not real vocation na passion
naunga mkono hoja 🤝Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.
Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!
No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 anako take home nako kasipotee..