Kwanza nampongeza Mhe. Waziri Mkuu kwa kuchukua hatua za kuwasimamisha kazi na kuagiza vyombo vya sheria kuchukua hatua kwa wale wote walio fuja fedha za walipa kodi.
Jambo ambalo nimejiuliza kama Halmashauri za Jiji la DSM ambayo ipo pua na mdomo sasa vipi Halmashauri ambazo zipo pembezoni kuna hatari.
Ubadhirifu ulio bainishwa na CAG kwa Mkoa wa DSM na kuelezewa na waziri Mkuu hiyo jana alipo kuwa anatembele Halmashauri za Jiji la DSM, ni kushindwa kwa viongozi walio pewa dhamana, RC na ma DC wameshindwa, kwa masilahi ya umma wanapaswa wapishe.
Nawaomba viongozi walio pewa dhamana wasimamie matumizi ya fedha za serikali, wasisubiri hadi viongozi wa juu wafike.
Ifike mahala kuwe na "collective responsibility" wewe kama kiongozi ulio pewa dhamana ya kuongoza kipande chako, na umeshindwa kusimamia ama kuzuia ubadhirifu basi huna budi kuachia ngazi kwa masilahi ya umma.