Endapo CHADEMA itakufa, haya ndio yatalikumba Taifa...

Endapo CHADEMA itakufa, haya ndio yatalikumba Taifa...

Alonso14

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
1,785
Reaction score
1,827
Amani iwe nanyi wakuuu nipo hapa kuelezea mambo kadhaa ninayoyaona mbeleni endapo CDM itakufa au kutoweka kutokana na izi njama chafu za CCM

1.UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU- hiki ndyo kitu kitachotokea baada ya upinzani kukosa nguvu kwa sababu wanyonge watakosa mtetezi


2.UPITISHWAJI WA MISWAADA MIBOVU- kingne kitachotokea ni upitishwaji wa mikataba mibovu sababu bunge litakuwa linaendeshwa kwa amri na litakosa nguvu yake kuhoji mambo mbali mbali.


ONGEZEKO LA UJAMBAZI NA UPOLAJI UTAOTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA-
Hili litatokea kwa wale vijana wa Lumumba wanaoendesha maisha yao kwa kumtukana mbowe wanaitwa wazee wa buku 7 hawa watakuwa ma jobless na wataingia mitaani kukaba.


HUU NI MTAZAMO
 
Lizaboni,jingalao, Troll jf, mzee mnafiki jiandaeni kukosa ajira
 
Back
Top Bottom