END of FACEBOOK???

ahaaaa..so kule kwenye setting zao huwezi kujidelete kabisa broo.
unaweze mkuu fanya hivi:-
Sign in face book afu nenda upande wa juu kulia pale kwenye setting au unapofanyia log out click chini kabisa palipoandikwa "
help" kitajitokeza kibox cha search so andika humo how delete my account , ikisha search zitatokea link nyingi wewe click link iliyoandokwa "How do I permanently delete my account? then chagua

"permanently deleted with no option for recovery", na ufuate maelekezo ya kudelete ukishamaliza kila kitu usi login kwa mda wa siku 14 then jaribu uone kama utaweza ku-active Krapka Davinoooooooooooooo!!!!!!
 
i dont know kama ni kweli ama ni just rumors, but i just hope for it to be down one day!
 
Hata mimi naamini facebook ni mtandao muhimu kwa ulimwengu huu wa sasa so kuifuta ni ngumu mnoo.ila na hisi walikua wanataka kuwapa presha tu facebook user.
 
Ila nadhani mtakubaliana na mimi kua facebook ina dis-advanatages nyingi kuliko advantages so nibora ifungwe tu.au mnasemaje wadau???
 
Hata mwisho wa dunia ulisemwa hivyohivyo watu wakauza nyumba na mali kibwena wakumsubiri masiya tulio roho ngumu tupo na bado tunasongesha.
 
Back
Top Bottom