END of FACEBOOK???

Dec 14, 2011
51
5
Wadau kuna taarifa nimeziskia juujuu tu eti kwamba facebook inataka kusitisha huduma zake hivi karibuni.so nataka nipate uhakika juu ya hili kama kuna yeyote anayeweza kunithibitishia hili plzz anipe details hizo...
 
mie teja mwenzio,asubuhi nikiamka ni facebook na kitu cha mwisho kufanya kabla ya kulalani facebook....:redface:

Mie JF kabla ya kulala lazima niangalie yaliyojiri hasa comment za watu kwangu ni burudani japo na kitabu cha sura (facebook) papita pia
 
hapana kule huwezi kujitoa unaweza ku activate AC any time kwa ku Log in

no,unaweza kujtoa kabisa,hata mie nina miezi 7 tokea ni-delete ac yangu.type 'delete facebook account completely' kwenye google utapata iyo link..within 18 days without accessing it utakuwa umeifuta mkuu!!
 
ahaaaa..so kule kwenye setting zao huwezi kujidelete kabisa broo.
 
hapana kule huwezi kujitoa unaweza ku activate AC any time kwa ku Log in
wEWE MGENI NINI? uamini kama kuna kujiondoa mia mia?

Sign in face book afu nenda upande wa juu kulia pale kwenye setting au unapofanyia log out click chini kabisa palipoandikwa " help" kitajitokeza kibox cha search so andika humo how delete myaccount , ikisha search zitatokea link nyingi wewe click link iliyoandokwa "How do I permanentlydelete my account? then chagua

"permanently deleted with no option for recovery", na ufuate maelekezo ya kudelete ukishamaliza kila kitu usi login kwa mda wa siku 14 then jaribu uone kama utaweza ku-active Krapka Davinoooooooooooooo!!!!!!
 
Back
Top Bottom