Empire Fans (series)

Empire Fans (series)

Tafuta na series moja inaitwa american odissey,kuna dada moja anaitwa odele na dogo mmoja wa mali..hii kitu ni shida season one imeisha.power ofcoz oko juu zaidi ya empire,ila kwa sasa tyrant na last ship ndo habari ya mjini..!!
 
Umeona eeh...nlishahisi kitu kama hicho. Unamuitaje mwanamme mwenzio "my love" pale alivyoshuka kwenye chopper hii last episode.
sure..mi first time tu kumuona the way anavyoongea nikajua humu hamna kitu
 
wadau nahitaji kupata series nyingi HD ,nitazipataje?

Ingia 4do.se utapata series zote zilizokwenye HD (especially 1080hd) sema sasa itabidi uwe na bundle la kutosha cos nyingi zina-range 500-900MB.
 
Series nyingi zinazohit kwa sasa karibu zote zina mambo ya kishoga

1.Have and Have not
2.Empire
3.Tyrant

Hawa wamarekani wameamua kuupromoti ushoga kwa nguvu sana
 
Series nyingi zinazohit kwa sasa karibu zote zina mambo ya kishoga

1.Have and Have not
2.Empire
3.Tyrant

Hawa wamarekani wameamua kuupromoti ushoga kwa nguvu sana
Afadhali Tyrant imerudi wacha niangalie..
 
Heart , dah asante sana kwa recommendation. #If loving you is wrong nimeikubali. Yani tangu ni-download nimeangalia mfululizo mpaka episode ya 7, sasa namalizia zilizobaki huku nadownload season 2. Nyingine yeyote nzuri?

Na AGENT CARTER vipi wakuu mmeangalia? Iko vizuri na starring this time ni mwanamke. Dare Devil nayo ni moto wa kuotea mbali. Dare Devil ni design kama Arrow sema starring ni kipofu, ila kipigo anachotoa ni hatari.

Btw Senior Boss nasikitika kukubali kwamba you were right. Lobos ni gay, episode ya 8 ndo inathibitisha bila chenga. Ila kitu kimoja nnachoweza kusema ni kwamba angalau kwenye Power hawaja-base sana kwenye ushoga kama Empire. Kwenye Empire ushoga ni moja ya utambulisho wake.
 
Last edited by a moderator:
ila ushoga wa empire umepitiliza. unamkuta mwanao wa kiume yuko kitamdani na dume lenzake nawe unakaa hapo
 
Ni series ya 50 Cent.

Inahusu a wealthy drug dealer, night club owner and family man -James St. Patrick (a.k.a Ghost) in New York. Who expects to turn legit nd leave his past behind.

On the side kuna msela anaitwa Kenan (50 Cent) who is in jail doing some time but soon released. He was the one dat introduced his young friends Ghost & Tommy Egan in the illicit drug trade back in the days and he is coming back to take his business (drug cartel) ambayo alimuachia Ghost (His number 2 probably) kipindi amekamatwa.

James (Ghost) St. Patrick and his wife Tasha aren't too happy wit Kenan's return cz inasemakana walim set up nd wanahofia Kenan (50 Cent) anajua and that he z back to revenge and take over.

Vibweka kenan anavyowafanyia kwa siri bila wao kujua kama ni yeye na u-mafia wa hawa watu (organized crime syndicate) in general is what makes the series interesting. Itafute aisee. Iko season 2 asa hivi.

Ngoja niitafute hii sasa...
 
Mkuu weekend hii nafanya hiyo kazi then nitakupa mrejesho....

Karibia. Kama una any recommendations on any other interesting series let me know....kama hyo alioniambia Heart hapo mwanzo....mambo ya weekend after having a long week. Tehe
 
Last edited by a moderator:
ntaitafuta "POWER" ndo inayozuzua hata hawa wanasiasa wa nchi hii adi wanatuletea masinema
 
Senior upo wapi aisee..?

Power nshaimaliza yote..had season 2 finale pale....ghost walivyotwangana na kenan (50 Cent). Kila weekend lazma na download. Tunangojea zijazo.

50 ana roho mbaya kichz kamtwanga risasi mwanae wa kumzaa kabsa.😂😂
 
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • vlcsnap-2015-08-18-23h19m47s872.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h19m47s872.png
    44.1 KB · Views: 99
  • vlcsnap-2015-08-18-23h19m07s000.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h19m07s000.png
    29.7 KB · Views: 93
attachment.php
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • vlcsnap-2015-08-18-23h15m14s161.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h15m14s161.png
    50.7 KB · Views: 87
  • vlcsnap-2015-08-18-23h14m34s352.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h14m34s352.png
    78.5 KB · Views: 88
  • vlcsnap-2015-08-18-23h15m44s966.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h15m44s966.png
    42.4 KB · Views: 88
  • vlcsnap-2015-08-18-23h15m33s261.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h15m33s261.png
    64.3 KB · Views: 86
  • vlcsnap-2015-08-18-23h18m15s698.png
    vlcsnap-2015-08-18-23h18m15s698.png
    79.3 KB · Views: 92
Back
Top Bottom