Emphraim Kibonde na Maulid Kitenge.

Emphraim Kibonde na Maulid Kitenge.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,062
Pichani ni Marehem Emphraim Kibonde aliekua mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,(Kushoto) akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha Sports HQ cha E-FM Maulid Kitenge(Kulia)..Enzi hizo katika harakati zao.

@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Attachments

  • Kibonde na Kitenge.jpg
    Kibonde na Kitenge.jpg
    24.5 KB · Views: 122
Pichani ni Marehem Emphraim Kibonde aliekua mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,(Kushoto) akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha Sports HQ cha E-FM Maulid Kitenge(Kulia)..Enzi hizo katika harakati zao.
RIP KITENGE
 
Dah hivi vifo viwili vina tukumbusha sisi si kitu

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
 
Hapa naona kuna ujembe tunaletewa kuhusu Kitenge kupitia mgongo wa marehemu Kibonde
 
Uwanja wa Uhuru kitambo kabla ya JK kuufanyia ukarabati.
R. I. P brother
 
Dah hivi vifo viwili vina tukumbusha sisi si kitu

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
Ndo hvyo aiseee,hvyo huna budi kunipa kitumbua kabla udongo haujafaidi
 
Back
Top Bottom