jamaa tabia zake za kuusaliti uafrika ni sawa na Dr.mihogo wa hapa tz.
Shetani wa enzi hizi ni nani mkuu
Shetani wa enzi hizi ni nani mkuu
Inasemekana jamaa alikuwa na inferiority complex kwa kuona rangi na nywele za kizungu ni bora kuliko za kiafrika alizonazo, akaishia kufanya facial surgery/ kujichubua na kuvaa nywele bandia ili tu afanane na wazungu.

Michael jackson aliapa kuwakomeaha wazungu Baada ya kuwafuata kupromote album yake wakamwambia mtu mweusi hauzi kwenye magazine zao.... Alichowafanya kupitia album ya Thriller Hawatokuja kusahau