uko na gari tu unawasha full na mwenzako kawasha full kwa ule ukungu bado mwanga huuoni mpaka afike karibu sana, daah RIPPamekuwa nashida kwa marubani wageni kwa ukanda huu haswa wanaporuka kwenye low altitude kwenye bad weather, eneo hili lina milimamilima kama hali ya hewa ikiwa mbaya (Low visibility) linakuwa ni eneo la hatari sana.