Empakai, Arusha: Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka. Watu 11 wafariki dunia

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,239
6,196
Ndege imegonga mlima huko Empakai Ngorongoro, imeua abiria 11 akiwemo rubani mmoja. Hii ni ndege ya pili kwa kampuni hiyo kuanguka ndani ya kipindi cha miezi miwili.

CA.png

Hii nyingine ilitokea mwezi uliopita lakini haikuua.
Ndege yaanguka Serengeti na kujeruhi watalii wawili na rubani mmoja

Pamekuwa nashida kwa marubani wageni kwa ukanda huu haswa wanaporuka kwenye low altitude kwenye bad weather, eneo hili lina milimamilima kama hali ya hewa ikiwa mbaya (Low visibility) linakuwa ni eneo la hatari sana.

Mabaki ya ndege
DOwv95XWAAEpkPu.jpg
DOwv-OjW4AAIk_S.jpg
DOwv-xHW0AAS8yZ.jpg
DOwYCzyXkAAkni7.jpg:large.jpeg
JNK.jpg
 
Nawasalimu,

Moja kwa moja nanyoosha goti,kuna habari nimeziskia kutoka chanzo cha kuaminika kuwa kuna ndege ya Coastal aviation imeanguka leo empakai( Nngorongoro)muda sio mrefusijapata muda wa kuhoji je kuna mtu anazo hizi taarifa rasmi?Pliz tujuzane
 
Pamekuwa nashida kwa marubani wageni kwa ukanda huu haswa wanaporuka kwenye low altitude kwenye bad weather, eneo hili lina milimamilima kama hali ya hewa ikiwa mbaya (Low visibility) linakuwa ni eneo la hatari sana.
uko na gari tu unawasha full na mwenzako kawasha full kwa ule ukungu bado mwanga huuoni mpaka afike karibu sana, daah RIP
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom