binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 14,909
- 40,131
You are sick.
Hisia za mtu ndio unafanyia hivo? Unamkuta mtu amekaa ametulia hana hili wala
lile wala hakutaki wala hataki mtu, unapambana kumshikanisha kihisia ili uone kama ataumia?