Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Sheria itafanya kazi na haki utapatikana
Hivi hii sheria ya ndoa kwanini isiwe inafanyiwa amendments kulingana na wakati tulionao?
Mkuu kesi ina dhamana kutokana na mazingira ya tukio kufanyika kwani sio wote wanaopelekwa kwa pilato wamebaka wengine term and condition wameshindana wanazua la kuzua na wengine kwa kuwa wanajua watu wa karibu siku hizi wanafanya unyama huu, wanafanya tukio kwa watoto alafu anatishwa anaambiwa amtaje mtu ndani ya familia hivyo kuna mazingira yanahitaji umakini wa kudhibitishaBullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
kwa hiyo kama mkeo akikunyima ujanja ni kulala na mdogo wake. KOSA LA MBASHA NI KUBAKA HATA KAMA FROLA ANAMAKOSA YAKE NAYE ANAKOSA PIA.Nilishangaa kuona na housegirl eti nae kaingia kwenye kesi. Sasa hivi mkeo akichukuliwa na kukuacha na housegirl na mdogo wake wewe ukale wapi na kitu kimesimama usiku, unakituliza kwa neno bado kimesimama tu? Ukizingatia kuokoka kunamfanya asionekane kwenye viunga vya dada pooozi
Nimemchukia sana huyu Gwajima.
Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj[/QUOTE
Tungekuwa tunatoa hukumu kwa kupiga kura kama tunavyochagua wanamuziki bora, nadhani wengi wangefungwa (una uhakika na Gwajima mkuu?), aliebakwa ana ufahamu kama ni kweli itadhihirika na kama ni uongo pia itadhihirika maana alikuwa wapi siku zote kusema mpaka wakati mwingine anabakwa kwenye gari ambapo inahitaji pozi maalumu la kugegedana tofauti na ndani mtu anaweza kuku-tight lakini kwenye gari lazima kuandaliwe na pozi flani unless kama ilikuwa kwenye bodi ya fuso
Tungekuwa tunatoa hukumu kwa kupiga kura kama tunavyochagua wanamuziki bora, nadhani wengi wangefungwa (una uhakika na Gwajima mkuu?), aliebakwa ana ufahamu kama ni kweli itadhihirika na kama ni uongo pia itadhihirika maana alikuwa wapi siku zote kusema mpaka wakati mwingine anabakwa kwenye gari ambapo inahitaji pozi maalumu la kugegedana tofauti na ndani mtu anaweza kuku-tight lakini kwenye gari lazima kuandaliwe na pozi flani unless kama ilikuwa kwenye bodi ya fusoNimemchukia sana huyu Gwajima.
Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj
Kambake na mke wa Gwajima huku flora akiona.., tena mtumie Flora wabakaji na yeye aonje utamu wa kubakwa..
kama mimi ndio imma naenda kumbaka mke wa gwajima nikamilishe ushahidi!
Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji