TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
EMMANUEL MBASHA AACHIWA KWA
DHAMANA!
Muimbaji wa dini, Emmanuel Mbasha (ambaye ni
mme wa Flora Mbasha) anayekabiliwa kwa kesi ya
ubakaji, ameachiwa kwa dhamana na kesi itatajwa
tena julai 17.
Emmanuel Mbasha amefikishwa leo mahakama ya
Ilala na kupatiwa dhamana hiyo baada ya kutimiza
masharti yaliyohitajika.
Bwana Emmanuel Mbasha alifikishwa mahakamani
hapo kwa shitaka la kumbaka msichana mwenye
umri wa miaka 17 anayedaiwa kuwa shemeji yake
Huko Tabata wanaishi nyumba ya kupanga au nyumba wanayoim iliki?
Bullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
emma kama kweli hao wamekubambikizia kesi cha moto watakionaaaa
Hivi hii sheria ya ndoa kwanini isiwe inafanyiwa amendments kulingana na wakati tulionao?
Kambake na mke wa Gwajima huku flora akiona.., tena mtumie Flora wabakaji na yeye aonje utamu wa kubakwa..
Huko Tabata wanaishi nyumba ya kupanga au nyumba wanayoim iliki?