Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

Labda ni kushauri tu “pamoja na ujinga mwingi ulioandika” umechapia sana kwenye tafsiri ya imani hapo huu, achana na hayo mambo maana yana wenyewe, nyie jadilini siasa tu.


UJINGA UPI???!!


 
Uhaini wako uko kwenye nini maana anasema chanjo ni hiari, kusema hiari ni uhaini???

Rais wa nchi kasema ni hiari, kwa nini Pole Pole awe mhaini




TATIZO LAKE NI KWENYE KUHAMASISHA HIYO "HIARI", SOMA VIZURI NILICHOANDOKA

KWANI ASIPOCHANJA NA AKAKAA KIMYA ATATESEKA NINI?!!
 
Ndugu ,je unajua kuwa:Basil Mramba amekufa kwa chanjo?Asasi amekufa kwa chanjo,na Prof Masawe amekufa kwa hiyo chanjo.Endelea na ujinga wako.


Kati ya Watu laki 4 waliochanjwa mpaka sasa hiyo ni 0.00000001% negligible,

Nenda kachanje chanjo ni salama sana,
 
Siungi mkono harakati za Polepole ila pia siungi mkono kuonyesha kuwa Rais hatakiwi kukosolewa..mengine uliyoyaandika ni yanatokana na mtazamo wako tu na uhuru kama ilivyo kwa Polepole..
 




Tatizo lako pengine ni lugha hapo hakuna aliyekataza mtu kujanjwa,

wanafafanua kuhusu chanjo na waliochanjwa hakuna anayeipinga kama ilivyo kwa jamaa yako,

Shida ya jamaa yako ni kukataa kuchanjwa na kukataza wengine,
 
Mmeshindwa kushawishi watu kuchanjwa hadi sasa mmechanja nasikia watu laki nne tu katika chanjo milioni moja na upuuzi halafu ndio kwanza mnaangaka na akina Gwajima na Polepole kana kwamba hao watu ndio wamefanya kuwe na muitiko mdogo kiasi hicho wa chanjo. Badala ya kutumia nguvu kuhamasisha watu kuchanjwa matokeo yake mnawashambulia wakina Polepole kisa tu wanaweka wazi tu kuwa hawachanji et mnawataka wanyamaze wasiongee.

Kama si upumbavu ni nini? Kila kitu mmefeli mlianza kufeli kwenye kuchukua tahadhari za kujikinga na corona kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti maambukizi mmefeli mkakimbilia chanjo nako pia mshafeli halafu mnataka kuwapa lawama watu wawili ionekane ndio wanawakwamisha.
 
Kosa kubwa alilofanya Mama Samia kumpa huyu jamaa ubunge wa kuteuliwa hakukuwa na sababu yoyote huyu jamaa ni adui wa awamu hii ya 6 na inamuwia vigumu kukubali Mama kawa Rais japo kuwa mimi simuungi Mama mkono 100% sababu anaonesha udhaifu katika maamuzi magumu lakini nakubali kuwa yeye ndio Rais wa nchi na lazima kumuheshimu. Ila huyu Polepole hafai na kupewa ubunge tu ni kosa kubwa sana sielewi Mama aliwaza nini au nani alimshauri. Hivi ubunge wa kuteuliwa unaweza kutenguliwa?
 
ana chuki pia kwa kuwa akiwa mwenezi hata ngono alipata kwa chee, sasa hivi zilezile alizotafuna bure zinamdharau
 




Tunawashawishije wakati nyie mnawaambia watakuwa Mazombi,
Unadhani Nani anataka kuwa Zombi?
 
Tunawashawishije wakati nyie mnawaambia watakuwa Mazombi,
Unadhani Nani anataka kuwa Zombi?
Sasa kama wenyewe hamjawafikishia watu elimu sahihi kuhusu chanjo mlitegemea nini? kwanza mmekimbilia kuleta chanjo wakati huku mkijua kwamba wananchi wanamtazamo usio sahihi kuhusu chanjo na tena uliyosababishwa na nyie wenyewe na ndio maana mnataka Waziri wa afya abadilishwe, kwahiyo tokea mwanzo mlishayavuruga wenyewe halafu kabla ya kuliweka hilo sawa nyie mkakimbilia kuleta hizo chanjo na bado hamtoi elimu sahihi kwa kutosha halafu mnatafuta mchawi.

Ni upumbavu juu ya upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…