CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,059
- 4,225
Hatutakubali, Walizoea kupoteza watu, kutupa watu baharini, Kunyanyasa wapinzani,Wana kundi lao, mawazo yao yana mwelekeo usio mwema. Mungu atusaidie tu. Wanakuja kuharibu nchi na wamepania sana.
Kwani msimamo wake kabla ya Samia kuwa Rais ulikuwaje?Polepole Humphrey anachuki za kuondolewa kwenye wenezi alikokuwa anakusanya pesa kwa wagombea,
Alijisahau sana huyu jamaa wakati wa mwendazake na kujiona kama yeye ndio Rais anapigasimu mpaka usiku kwa Wakuu wamikoa...
Mbona mnavisingizio vyakijinga jinga? Yani mtu akitofautiana kifikra na Mh Rais mnasema ana mdharau kisa mwanamke? Mbona Ndungulile alikuwa tofauti na Magufuli ila ubunge wake ulikuwa salama?Anachokifanya Polepole ni Uhaini na uuwaji,
Polepole anatusumbua sana kwenye hii nchi, tangu enzi za mwendazake polepole ni Msumbufu Sana...
Kwani msimamo wake kabla ya Samia kuwa Rais ulikuwaje?
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE
Na. Emmanuel Allute Jr,
_________________________
1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti, Maaskofu,Mashekhe,Maimamu,Mitumie,Manabii,wazalendo kama wewe etc |Swali... Je, Wewe kama H|Polepole ndg yangu wa Ukimbu Itigi|Manyoni U-zaidi ya hawa watu 4.51M,Watanzania tunakufahamu bro, Nikweli unao-Wema wa kutosha kuwazidi hawa wote waliolala|kufa?!!
2. Unasema Chanjo ni mkakati wa kibiashara toka kwa Mabeberu fine,Bei ya J&J ambayo tunaitumia ni US$10 sawa na Tshs 22,000 wakati bei ya Chanjo ya homa ya Manjano ( Yellow fever) ambayo nayo ni yamabeberu japo wewe huitazami kwa jicho la kibiashara ni US$ 14 sawa Tshs 30,000 au US$ 50 kwa Wageni, |Swali ...Je, huoni kama kinachokusumbua wewe ni Hisabati tu,Sinikweli kwamba gharama ya Chanjo yako ya manjano ni kubwa kuliko hata hii ya Corona ambayo leo unaipinga? Lakini pia,Pesa inatafutwa,vipi kuhusu Uhai wa binadamu wenzako?
3. Nimekusikia pia unazungumza kuhusu imani,Kibiblia imani ni kuwa na hakika na mambo unayoyatarajia,bayana ya mambo usiyoyaona,Yaani "Unatarajia ila bado hujapokea " |Swali, Je nikweli chanjo tuliyoitarajia kwa imani bado hujaiona au kusikia?,Je Mungu aliyetupa chanjo ya Manjano leo kabadilika na hawezi tena kutupa hizi J&J,Pfezer,Moderna,Covovax,Astra Zeneca etc
4. Nikikutazama usoni ni kama unaghubu hivi sijui ni kwanini ila majibu unayo wewe, |Swali...Je, Nikweli kwamba unataka kutumia ghubu hilo kuonesha nguvu yako ya Ushawishi ulionao kwa gharama ya maisha ya masikini hawa wanaoishi kwa nguvu ya Propaganda tena wasio na hatia yoyote juu yako?Hivi unadhani liability yako kwa Taifa ni kubwa kuliko ile ya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?!! Umepatwa na nini bro!!?
5. Mhe Rais ametoa hiari kwenye chanjo na Yeye kama Rais wa JMT akaonesha Umuhimu wa chanjo kwa Kuchanjwa Yeye wa kwanza akionesha kuwa "Chanjo ni "HIARI" lakini "MUHIMI " |Swali... Je, Wewe kama kiongozi mkuu mstaafu wa Chama na Serikali unapata wapi ujasiri wa kuondoa "UMUHIMU" ulioko kwenye Chanjo na kuanza kuhamasisha "HIARI" kinyume na kauli|matendo ya Mkt wa Chama Taifa,Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT?
NB, Nikwamuda gani chanjo inadumu mwilini | Uhai wa binadamu hata kwa dk 30 bado ni wamuhimu sana kuliko elfu 22
|Tanzania Tuna chanjo 15 na zote ni za mabeberu hawahawa ,Twendeni tukachanjwe so far ni Rais ndio anatulipia chanjo zote tangu awali,
...Nitaendelea |Kazi iendelee
alluteemmanuel@gmail.com
Ni kupoteza muda kumskiliza Polepole! Naye ni beberu wa aina yake kama anavyowataja mabeberu wengine. Anatuhumu tu bila ushahidi wowote wa kile anachotuhumu. Hopeless!|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE

Big up mzee,We fala hujui kitu... Chanjo ya Corona sio permanent immunity... Chanjo zote za Corona unachoma jab zaidi ya moja na baada ya miezi 6 unachoma tena.
Israel ndio wa kwanza kuwachanja watu wengi, now wanatoa boster.
Zanzibar tu hapo wameambia Chanjo na Sinovac sio watumie J&J.
Na Kila variants Mpya za Corona lazima uchome booster au update ya mNRA.
Watu mnaomtetea Samia ni weupe sana kichwani
Nyie wote mnaomtetea Samia hamtumii akiliInaonekana wewe ndio fala,
Hata kama Watu wanaboost chanjo lakini si tayari wanayo?
Polepole kuhamasisha watu wasichanjwe unaona ni sawa?
Polepole hawezi kubishana na Amir Jeshi mkuu hadharani tukamwacha hvhv,
Kama hataki chanjo akae kimya au arudi Chadema alikotoka,