Andre 3000 jamaa mkali sana huyowote mlioreply hamna facts zozote..
skilizen malegend kina Andre 3K.
eminem anazidiwa hata na JID
im talkn pure lyrics...nahisi kwa marapa wanaoongoza kuflop kwa albam zao ni eminem
Jaribu kua serious na maishawote mlioreply hamna facts zozote..
skilizen malegend kina Andre 3K.
eminem anazidiwa hata na JID
im talkn pure lyrics...nahisi kwa marapa wanaoongoza kuflop kwa albam zao ni eminem
Kina Lil Uzi verty, na Young Thug[emoji23][emoji23]Bora Drake. Akina lil pump sijui rody richh
Kizazi cha kina Bil Nas hiki mkuu tuwazoeeMkuu kwa maoni yako hayo mimi nakushauri achana na mziki, au kama huwezi kuacha basi jikite kwenye taarabu.
Stanleywewe nambie wimbo gani/ stori gani ya eminem inazidi hizi
how much a dollar cost
sing about me
duckworth
u
art of peer pressure
the blacker the berry
Mkuu kwa maoni yako hayo mimi nakushauri achana na mziki, au kama huwezi kuacha basi jikite kwenye taarabu.
Marshall Mathers aka slim shady aka eminem aka the most overrated rapper alive
I mean lets call a duck what it is
Huyu jamaa watu wanasema anamzidi Lil wayne n a kendrick lamar
Mimi nasema otherwise
Nimejaribu kusikiliza projects zake kibao lakini wapi
Nakuomba wewe kama stan ujaribu kunielewesha uGOATness wa huyu jamaa kuwazidi hao nliowataja
Im open minded
Ukitoa speed Eminem rapa wa kawaida sana
Na speed sio kitu cha ajabu, madogo wengi wanaweza
wote mlioreply hamna facts zozote..
skilizen malegend kina Andre 3K.
eminem anazidiwa hata na JID
im talkn pure lyrics...nahisi kwa marapa wanaoongoza kuflop kwa albam zao ni eminem
Mimi nimekuwa namsikiliza Shaddy tokea 90's na nilivyoona huu uzi nikasema Hiiiiiiiiiiiiiii (In Magu's Voice).Dr Dre alinyoosha mikono ..sembuse we umbwa mmoja..
Overatted ..Taja hao top rated Basi...
Humjui Marshal vizuri wewe ...Project ipi unesikiliza ukaja na huu utopolo wako..
Misingi ya hip hop -Rap unaijua...
Tusiende kiprofesheno twende kitopolo Kama utopolo ulioandika hapa..