Eminem is overrated, yes I said it

Mzee hivi umemsikiliza BIG vizuri ???
Big muacheni kabisa. Nimesikiliza collection zake for ages.. Nimesikiliza collection za Pac for years.. Kila siku namsikiliza Jay Z my favourite..
Nasikiliza makundi mengi ya zamani na wasanii ndani ya makundi..

Nilisha draw conclusion zamani, hakuna kama Big Small.
 
Ya kawaida sana...ukiondoa speed hamna cha maana anachokisema
Usiishie kwenye flow tu skiza na ufundi wake kimistari (lyricism).
Kugonga platinum decades nne tafauti sio jambo dogo mkuu

Alaf... Ile No love na Drop the world kote huko mwanao weezy alikalishwa vby vby.
 
Mzee hapa nimependa hyo *** u and food night [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biggie was intense,...
 
Hahaha hapo umenikumbusha kuna msanii alifanya kolabo na eminem halafu akapigwa diss track mle mle kwenye single na mchizi hakujua kwamba kachanwa
 
Kwaiyo vijana wa 20s waachane na trap music zinawadanganya mpaka wanazarau legends wao
 
Ahahahahah eti f*ck you, and have a good night!! Renegade.. Nadeclare conflict of interest!! Namkubali sana Hov.. Labda ndio maana huwa sioni kama alifunikwa extent inayoongelewa. Nikisema niwarate, Marshall nitampatia 55%, Hov nampa 45%.
Lkn collectively, Jay is by far the best kulinganisha na Eminem, apart from speedy rapping na some lyrics, hana jipya.
 
Tukienda bars kwa bars dada ako Marshall anafunikwa hiyo drop the world....Eminem maybe unipe argument ya rhymes yani ana rhymes zile za cow,wow,how
Lakini Lyricism ukija upande wa bars,punchline,metaphors Eminem ni average joe
Eminem dada tena duh! Unamchukia tu Em bure. Pamoja na kujipa verse mbili kwenye hiyo drop the world lkn wapi...

Achana na Em mzee the first artist to have 10 consecutive number 1 albums, won back to back grammy with relapse&rocevery, ended 2000s as the decade's top selling artist, the 1st rapper to win oscar...

Hata uwe Overrated vip huwezi fikia robo ya mafanikio ya em.

Btw, where is mgk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpaka sasa sijajua mleta mada anataka nini haswa,
Maana zaidi ya 75% wamesema Eminem yupo juu na wameambatanisha na majina ya nyimbo akazisikilize, lakini mkuu wapi haelewi yaani ndo kwanza anamwita Eminem Dada

Labda utuambie mkuu mleta mada wewe unatakaje?
 
Anataka mzani uegemee kwake
 
Slim is underrated, maybe because he's white ...
 
Mockingbird, stan, cleaning out my closet, bad guy ...............lose yourself
 
Mzee hivi umemsikiliza BIG vizuri ???
sana tu...

big ana flow nzuri na ryhmes nzuri ila hayupo exhaustive kama eminem considering the latter's speed
kwangu mimi, Guru na Rakim ni wakali kuliko BIG basi tu hawakupata promotion vizuri
 
Ukitaka ujue kama EMINEM yupo juu fuatiliaComment za mleta mada,
Utagundua kwamba anampambanisha Eminem na wasanii tofauti tofauti yaani kaandaa jeshi la wasanii kuwapambanisha na Eminem

Ndugu mleta mada naomba upendekeze jina la msanii mmoja tu unayemwamini wewe ili tuweze kumpambanisha na Eminem
 
atasema Kendrick lamar
 
atasema Kendrick lamar
Nina mashaka kuwa mleta mada umri wake ni Gen Z.

Nimeona hapo anamlinganisha Eminem na Kendrick.
Kuna Punchline moja Prof Jay anasema 'nilimshawishi baba yako akuruhusu uimbe'. Hii line inachora mstari kati ya kizazi kimoja na kingine kimuziki.

Wakati Kendrick 'anaanza' muziki rasmi 2004, tayari Eminem alikuwa na best selling albums 4 na concerts kubwa kibao. Vijana ni vyema waheshimu 'wazee' wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…