Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,809
- 6,305
Wakuu! Nina rafiki yangu anaishi Na kufanya kazi Mwanza, kapokea simu jioni hii akitakiwa Ku report kesho asubuhi saa 4 kwa ajiri ya interview hapa Dar es salaam! Amejaribu kucheki Kama anaweza kupata ndege toka mwanza kaambiwa ndege zimejaa, Kuna mtu kamwambia Kama anaweza kuonana Na wafanyakazi wa mashirika ya ndege wanaweza kumsaidia, Kuna mtu yoyote anaweza kuwa msaada? Ushauri wowote please!!!