Emergency door kwenye mabus. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emergency door kwenye mabus.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Jan 9, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati Serikali ilitoa agizo Bus zote ziwe na milango ya emergency na ikatoa muda wa kufanya marekekibisho hayo, baada ya muda huo ambao wangekuwa hawajatekeleza augizo hilo magari yao yasingeruhusiwa kubeba abiria, lakini hadi sasa naona bus nyingi hazijarekebishwa na zinaendelea na kazi kama kawaida. Je muda waliopewa haujaisha ?
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Una wajibu wa kutoa taarifa kwa mamlaka husika.
   
Loading...