Embu niwachekeshe kidogo.

Embu niwachekeshe kidogo.

funduku

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
131
Reaction score
36
Juzikati nilikua natoka zangu job kwakua foleni ilikua kubwa barbarani ikabididi nishuke nianze kutembea nikawa napita njia za mkato. sasa kunasehemu nikasimama ili nijisaidie aja ndogo nyuma ya nyumba fulani hivi, sasa wakati nakojoa mara nikasikia sauti nzito ikitokea kwa dilishani mwa ile nyumba.. OYA OYA HAPO PAKIZAA MTOTO UJE KUMCHUKUA.. ebwana nilichoka kweli. Dar watu wanamaneno!
 
Kuna uchochoro nilipita pana harufu ya mkojo sana na hata kuta zina ramani coz ya kojoz,kuna maandishi pembeni USIKOJOE HAPA UKIKUTWA FAINI 50000,nilichoka kuona chini kuna chupa ya uhai imejaa tele mkojo imetelekezwa
 
Choo kimojawapo stand kuu ya mabasi mbeya kimeandikwa hivi nanukuu 'kunya napo hela basi tupewe risiti'
 
mimi nilidikia oyaa choo hicho ni cha kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom