Embu jiulize hili swali....!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Embu jiulize hili swali....!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Michael Amon, Apr 8, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Embu jiulize hili swali wewe ukiwa kama mwana JF na mkristo; Kifo cha Yesu cha juzi na cha Kanumba kipi kimeugusa zaidi moyo wako? Halafu jipime, wewe ni wa Kristo au wa Kanumba?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Yesu hakufa juzi arifu, ni kumbukumbu tu ya yaliyotokea miaka elfu kadhaa iliyopita..
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hivi unelewa kwanza nini maana ya maadhimisho?
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  KIfo cha yesu kinafanyiwa Annivessary, Kanumba kavuta juzi kati tu...
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  kwamba naelewa ama sielewi, siyo hoja ya msingi kwenye hii thread yako Arifu. Kwani maana yake nini?
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hata kama kifo cha Yesu kinafanywa kumbu kumbu, ina maana kifo cha Kanumba cha umalaya ni bora kuliko cha Yesu aliyekufia msalabani kwa ajili yako ili upate kuokoka?
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kama ingekuwa kuelewa au kutokuelewa sio hoja ya msingi basi nisingekuuliza maana yake.
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Adhimisho ni kitendo cha kufanya sherehe kwa ajili ya kukumbuka tukio flani. Kifo cha Yesu huwezi kukiita ni adhimisho kwa sababu hatusherehekei kifo chake ila tunasherehekea ufufuko wake.
   
 9. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  We dogo Young-master mbona mtata flani kwa busara ya kawaida niliyojaaliwa japo siyo Mkristo kifo cha marehemu Kanumba huwezi kukifananisha na kifo/kumbukumbu ya ufufuko wa Yesu. Jipange kabla ya kuleta uzi hapa jamvini. Hata kama ni sula la jinsi gani mtu umeguswa kamwe marehemu Kanumba hawezi kukumbukwa/kupendwa kama Yesu Kristo.
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  poa poa kaka, nashukuru kwa sahihisho. Nadhani tutumie neno kumbukumbu kama mbadala wa neno maadhimisho..
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Recorded haibambi kama LIVE.
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa kunielewa mkuu.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Una maana gani kusema hivyo mkuu?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa kabla ya yote tuheshimiane maana mimi sio dogo. Mkuu nadhani haujauelewa vizuri huu uzi wangu. Embu usome kwa makini kabla ya kutoa maoni maana naona umetoka out of point kidogo.
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ipi ni live?
   
Loading...