The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 83
Embu wajameni wakubwa kwa wadogo jiulizeni kam huu ugonjwa usingekuwepo leo hii ni yapi ambayo macho yetu yangukuwa yanayashuhudia! Je, ngono ingefanyika kwa kasi namna gani na kwa uwazi kiasi gani? Au, Jes watoto wa mitaani wangekua idadi gani leo hii na Je, ndoa zingekua zinaishi tena........kwa mimi binafsi nimetafakari na kugundua kwamba haya yote na mengine yangukua ni mara elfu elfu na zaidi kama huu ugonjwa usingkuwepo leo hiiiiiiii.... Ongezea maoni yako na wewe