Embu Jibu kwa mtazamo wako "Dunia ya leo ingekuaje kama pasingekuwepo na UKIMWI?"

The Only Kilo

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
353
0
Embu wajameni wakubwa kwa wadogo jiulizeni kam huu ugonjwa usingekuwepo leo hii ni yapi ambayo macho yetu yangukuwa yanayashuhudia! Je, ngono ingefanyika kwa kasi namna gani na kwa uwazi kiasi gani? Au, Jes watoto wa mitaani wangekua idadi gani leo hii na Je, ndoa zingekua zinaishi tena........kwa mimi binafsi nimetafakari na kugundua kwamba haya yote na mengine yangukua ni mara elfu elfu na zaidi kama huu ugonjwa usingkuwepo leo hiiiiiiii.... Ongezea maoni yako na wewe
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,582
2,000
mie kudadeki ningeenda pale kona bar na kichukuwa wanawake watatu watatu kila wikend nijienjoy kwa raha zangu
 

Tetra

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
1,521
2,000
Labda kizazi cha sodoma na gomora
17% ya uovu
na cha sasa
83% ya uovu.
Sipati picha!
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,582
2,000
Mnawaza ngono tu ndio mana Tanzania inazidi kuwa maskini

mhm wazungu wamekuja na porno lakini bado wanaendelea....ngono ndio chachu ya maendeleo.... maana wanaume tunapiga kazi ile tupate pesa yakutuwezessha tuwagegede...hamna K ya bure hapa mujini lol
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Ukimwi haujabadili kitu. Ufuska bado ni janga la dunia. Ukienda Ulaya na Marekani utashangaa watu wanavyopiga vyisi mbele za watu hovyo hovyo. Sexting kwa vijana ndiyo usiseme. Ubakaji wa watoto na ni balaa jingine. Kimsingi ukimwi haujabadili kitu wala kuzuia kitu. Ni mtazamo wa mtu binafsi kuona kama ukimwi umepunguza au kuzuia ngono na uchafu wa aina hiyo. Wazinzi huwa hawaongopi ukimwi. Kwao ni ajali kazini.
 

kibhopile

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
1,506
2,000
'IF' questions are Hypothetical na huwezi kupata majibu yalionyooka. Jaribu tu kufikiri kwamba hata ili swali umeuliza sababu tayari kuna UKIMWI. so ni simple tu kwamba huwezi kuongea usichokijua.
 

piper

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
3,253
1,195
Daaaaaaa!!!!!!! yaani bac tu hili gonjwa limekalia pabaya, ama kweli kitumbua chetu kimetiwa mchanga
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,464
2,000
bora hata ukimwi maana usingekuwepo wangekuja na ugonjwa mwingine, huo mwingine hatari yake i doubt kama mtu angemaliza miaka miwili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom