Embu angalieni duuh....

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
11
wakubwa zangu na wapa salamu! Nina shida jamani nimenunua AIRTEL modem hzi za huawei E153 tatizo kubwa hapa ni kwamba nikikoconect inakubali fresh kabisa ila internet inasumbua! Kuhusu bundle ipo haina matatizo! Au itakuwa setting zinasumbua sijui lakini msaadae kwenu wakubwa
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Uko mjini ama nje ya mji. Kwa haraka haraka naweza sema eneo ulilopo ndo labda linapelekea.
 
cheki na customer care wao ujue nini tatizo wakishindwa kuconfigure basi uje huku kwani unaweza elekezwa ukashindwa kurekebisha afu wakakugomea kuirekebisha huko airtel jaribu huko kwanza mkuu maana inaonekana ni mpya hiyo modem..

au eneo lako ndio halina 3G nini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom