Embe dodo ananipa wasiwai wa kuishi

Embe dodo ananipa wasiwai wa kuishi

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Nimekuja wadau munisaidie huu mwaka nikama ni mchungu sana kwangu.
Mimi nafanya kaz za habari ktk redio furan hapa nchini , sasa kuna dem anaimba nyimbo za njili ,

Sasa kisa kiko hivi , huyo dem alikuja kwangu ni mpelekee nyimbo zake zichezwe redioni, kiukwel nilimfanyia vizur sana zikawa zinapigwa sana hizo nyimbo zake.

Siku moja akaimba wimbo mpya akaniletea nikasikiliza nikamwambia mdada unaimba vizur sana akatabasamu na mda huo tulikuwa room kwangu .

Bac akaniambia naomba nisaidie na hii nyimbo ukanichezee redion ila leo nakupa zawad nikamuuliza zawadi gan?
Akasema fumba macho nikafumba , nilipofumbua nikakuta amevua nguo duh, walahi anampododo huo na mtoto kama mkorea vile, bac nikamuuliza unataka kufanya nn ,moja unamtumikia Mungu, pili umeolewa , naomba uvae utaniletea matatizo , akaendelea kunishikashika sasa kutokana na mm nimwanadamu nikajikuta nimebatizwa kwa moto.

Toka siku hiyo ikawa ndio mchezo mpaka akapata mimba ikatoka.
One day akaniambia nataka unioe maana mme wangu hajui kabisa na hasimamishi vizur duh, nikamjibu hiyo ngumu maana mm nikijana ww mpende mmeo mm nitakupotezea mda, ?

Wala hakujal , siku moja wakiwa ktk mkutano wa njili akazawadia nguo (shati) ,hiyo shat akaniletea hm kama zawad and kibaya hiyo shat alipewa akiwa na mme wake hapo mkutanoni means mme wake anaijua.

Sasa siku moja mme wake akapata tetes kuwa na mzabua mke wake , hapo mm sijui kama jamaa kaanza kunifatilia ,akawa hanifumanii ila siku moja akanikuta nimevaa ile Shati and akanikaba roba , sasa kwa kuwa watu walikuwa wengi mm nikamuambia tukakae mahal tuongee , akakubal sasa nikauliza mbona sikuelewi ,akaniambia umevaa shat la mke wangu hivyo leo ni leo na ww unamla mke wangu, nikamuambia mm sijui kama shat la mkeo na mm sitoki na mmeo.

Walikuwa na jamaa yake mwingine wakanikaba wakachukua cm yangu.
Na elf 50 , na wakaita mwenyekit wa mtaa eti nisain kulipa lak3 ili nipewe sim yangu kama fain nikawaambia mm sitapata hela ya kulipa nipen cm yangu wakagoma.
Nikaondoka mpaka hm na mpaka sasa Wana cm yangu.

Ktk karatas waliyokuwanayo na mwenyekiti wakanisainisha kwa lazima kulipa lak 3 na kuwa nisipolipa wataenda mahakamani.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauli hili naliponaje.👏
 
Hapo juu ni typing erro nina maana ya wasiwasi.
 
Kwani shati dizaini hiyo lipo moja tu? Wanaushahidi wowote kuwa unamla mkewe? Mwambie jamaa akashughulike na mkewe aachane na wewe. Ikiwezekana nenda polisi waambie umeporwa simu na pesa.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Santi kwa mawazo mkuu
 
Nimekuja wadau munisaidie huu mwaka nikama ni mchungu sana kwangu.
Mimi nafanya kaz za habari ktk redio furan hapa nchini , sasa kuna dem anaimba nyimbo za njili ,

Sasa kisa kiko hivi , huyo dem alikuja kwangu ni mpelekee nyimbo zake zichezwe redioni, kiukwel nilimfanyia vizur sana zikawa zinapigwa sana hizo nyimbo zake.

Siku moja akaimba wimbo mpya akaniletea nikasikiliza nikamwambia mdada unaimba vizur sana akatabasamu na mda huo tulikuwa room kwangu .

Bac akaniambia naomba nisaidie na hii nyimbo ukanichezee redion ila leo nakupa zawad nikamuuliza zawadi gan?
Akasema fumba macho nikafumba , nilipofumbua nikakuta amevua nguo duh, walahi anampododo huo na mtoto kama mkorea vile, bac nikamuuliza unataka kufanya nn ,moja unamtumikia Mungu, pili umeolewa , naomba uvae utaniletea matatizo , akaendelea kunishikashika sasa kutokana na mm nimwanadamu nikajikuta nimebatizwa kwa moto.

Toka siku hiyo ikawa ndio mchezo mpaka akapata mimba ikatoka.
One day akaniambia nataka unioe maana mme wangu hajui kabisa na hasimamishi vizur duh, nikamjibu hiyo ngumu maana mm nikijana ww mpende mmeo mm nitakupotezea mda, ?

Wala hakujal , siku moja wakiwa ktk mkutano wa njili akazawadia nguo (shati) ,hiyo shat akaniletea hm kama zawad and kibaya hiyo shat alipewa akiwa na mme wake hapo mkutanoni means mme wake anaijua.

Sasa siku moja mme wake akapata tetes kuwa na mzabua mke wake , hapo mm sijui kama jamaa kaanza kunifatilia ,akawa hanifumanii ila siku moja akanikuta nimevaa ile Shati and akanikaba roba , sasa kwa kuwa watu walikuwa wengi mm nikamuambia tukakae mahal tuongee , akakubal sasa nikauliza mbona sikuelewi ,akaniambia umevaa shat la mke wangu hivyo leo ni leo na ww unamla mke wangu, nikamuambia mm sijui kama shat la mkeo na mm sitoki na mmeo.

Walikuwa na jamaa yake mwingine wakanikaba wakachukua cm yangu.
Na elf 50 , na wakaita mwenyekit wa mtaa eti nisain kulipa lak3 ili nipewe sim yangu kama fain nikawaambia mm sitapata hela ya kulipa nipen cm yangu wakagoma.
Nikaondoka mpaka hm na mpaka sasa Wana cm yangu.

Ktk karatas waliyokuwanayo na mwenyekiti wakanisainisha kwa lazima kulipa lak 3 na kuwa nisipolipa wataenda mahakamani.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauli hili naliponaje.👏
Kwanza inaelekea siyo kiss Cha kweli...lakini Kama ingekuwa ni kweli wewe ni mtu wa bahati kwamba mpaka Sasa hujapoteza maisha kwa kuingilia ndoa za watu...ogopa mke wa mtu...unaweza kupoteza maisha kimasihara...
 
dogo ukiambiwa mke wa mtu sumu mnajifnya kibeberu na apo nimekufanyia fairplay kbsa ,,,uliza wenzio nacho wafanyia ,,kuanzia leo achana na mkewangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inabidi useme hilo shati alikupa kama zawadi na mlikutana sehemu ya kazi.

Kichwa cha chini,kimemponza kichwa cha juu.
 
Hii stori ya kutunga.
Kama umesema umemla inakuaje unaji expose hapa.
Huu uongo kwanza hakuna m/kiti wa dizaini hiyo! Anasikiliza upande mmoja na kuusapoti kukandamiza upande mwengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom