"XXXXXX, ukifowadiwa email yyt inayomuhusu rais wa tz pse dont forward it to any one kuna watu imewagharimu kwenda selo kulala. take it vry serious. XXXX u!"
Childish warning!...
Ni sheria gani inayombana mtu asifowadi email zake?
Kwanini asitafutwe aliyeoriginate?...Hii ni njama ya kubana vyombo vya habari na Teknology kama walivyofanya huko Egypt, japo PEOPLES POWER imewaonyesha kuwa hawawezi kitu!..
Dawa ni huyo rais kuacha mambo ya usanii, na si kuwatisha wanaosema baada ya yeye kutenda!,...
TUNAENDA KUBAYA HUKU SASA!
Na waliopo nje ya nchi je?? wakiforward nini kinawapata???
Ngoja nikutafutie namba ya jamaa wa ze utamu aliekuwepo nje akueleze walimfanyaje..............
Inaonekana nawe ulikuwa ni mmoja wa wanamtandao na unadhihirisha hapa kuwa wamjua fika na ni mtu wako wa karibu mpaka namba yake ya simu unayo,nadhani wakiuliza mengi toka kwako wanaweza kujua pa kuanzia mpaka hizi mail zinazotumwa sasa.Ngoja nikutafutie namba ya jamaa wa ze utamu aliekuwepo nje akueleze walimfanyaje..............
Kuna tetesi kwamba watumishi karibu woote serikalini wa vyeo vya kima cha kati na chini wamechoka na kupanda kwa ghalama za maisha na wanataka kupitia vyama vya wafanyakazi wafanye mgomo ambao haujawahi kutokea nchi hii, eti kuna e-mail za kuhamasishana.
Nahangaika jinsi ya kuthibitisha hili kama ni kweli.:argue:
Ngoja nikutafutie namba ya jamaa wa ze utamu aliekuwepo nje akueleze walimfanyaje..............
Nimekuona mitaa fulani halafu ukasepa baada ya kuona nondo zilivyopigiliwa. Habari za masiku malenga wangu.
Mie sioni tatizo pia mtu kufowadi e mail zake ila tatizo linakuja kwenye contents za hiyo e mail. Kama ikiwa kuna maneno yasiyofaa au picha chafu za kutengeneza mie sikuungi mkono. Fahamu kumfanyia mtu jambo ovu unatakiwa ufikirie je akifanyiwa mtu wako baba yako, mjomba wako, dada yako, mama yako au wewe utajisikiaje?
Ukiona hutafurahia basi na huyo muhusika mnaemjadili hapa kwa majina mengi mengi mengi yakiwa ya kuchukiza hatapenda pia. Sidhani kuna mtu anapendwa aitwe kwa majina ya ajabu ajabu yenye kila hila za kejeli na dharau. Sisi waislam tumeusiwa tuitane majina mazuri ndio maana ni nadra sana kukuta majina ya ajabu ajabu kwa waislam ila wachache wakibantu haswahaswa.
kwa sababu umeweka uislam (dini) sitaki ku-commentSisi waislam tumeusiwa tuitane majina mazuri ndio maana ni nadra sana kukuta majina ya ajabu ajabu kwa waislam ila wachache wakibantu haswahaswa.
itakuwa ilipicha ya mkwere yenye kiwiliwili na kichwa cha Mkwere, sikubahatika kuihifazi kwani niliiona nikiwa natumia simu hapa hapa JF nasikia wanakamatwa ukibainika umewatumia watu...Nimetumiwa sms na mtu wangu wa karibu (anafanya kazi serikalini):
Kuna mtu amepata onyo kama hili au amekuwa implicated kuhusiana na email hizo? Lina ukweli kiasi gani? Ni email kuhusu nini au ni just email kuhusu rais?