Elite home tuitions teaching vacancies in Dar es salaam will be available here

Elite home tuitions teaching vacancies in Dar es salaam will be available here

ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION

Tunahitaji Mwalimu wa grade1 Kwaajiri ya kufundisha home schooling

Masomo
English (reading, writing and speaking)

Arithmetics

Kiswahili (kusoma na kuandika)

Location: osterbay (dsm)

Kazi inatakiwa kuanza kesho Alhamisi tarehe17 july 2025.
Muda saakumi na moja kamili jioni.
 
ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6.
Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment.
Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
Cambridge unamlipa mtu anayekuja nyumbani 160,000 kwa mwezi, wakati watu wanakula 30,000 kila siku kwenda kufundisha nyumbani shule za NECTA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom