Elimu yetu ni pagara lililotelekezwa

Elimu yetu ni pagara lililotelekezwa

Tanzania wani

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Elimu ya msingi ni darasa la kwanza mpaka darasa la nne basi kuanzia hapo ni mtoto akue tu!!maana wanaowafundisha wanahitaji kufundishwa je wanaofundishwa na wanaohitaji kufundishwa wataelewa?
Mpe hili swali mtoto wa la saba atunge sentensi kwa kutumia neno "unless"" 100% atafeli wakati huo kasoma lugha hiyo miaka 4
Au wa form 2 aandike kwa maneno "" 304,040,404" "
Au mwambie apange hii sentensi vizuri!
"*JUMA ARE NEEMA AND UGALI EATING''
99%WATAFELI
NI BORA WANAFUNZI asomee shule zinazofundisha kwa GRADE kuliko za STANDARD!! yaani private grade 1 to grade 7 ,standard 1 to standard 7) nimeamini

Mzazi uaiangalie matokeo ya mwanao bali angalia masomo kapata ngapi!!ila utajuta maana elimu yetu inaangalia matokeo na si uelewa wa mwanafunzi!!

Ngoja nikomee hapa maana msine niambia natoa povu!!
 
Kila nchi hutoa elimu kulingana na matarajio yake, Tanzania inatoa kiwango cha juu cha elimu inayomuwezesha mhitimu kuwa mamantilie na mmachinga, hawa wote ni wafanyabiashara na hawawezi kukibugudhi chama tawala mradi tu wapewe eneo wanalolitaka wao kufanyia biashara.
 
Back
Top Bottom