Elimu yako ni ya kichina?, soma hapa!!

Elimu yako ni ya kichina?, soma hapa!!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
Hi all!

Ilikuwa ni leo asubuhi hv, dogo mmoja muuza duka alinionyesha sms hii kwenye simu yake aliotumiwa na demu wake:

''km elimu yako sio ya mchina badili sentensi hii kuwa ya kiingereza ''BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?'', nipe jibu sasa hivi nicheke''.

Jamaa ana demu wake pale mtaani, huyo demu amemaliza form 4 mwaka jana na ni kati ya wahanga waliopatwa na tornado cha mulugo, sasa jamaa alishamwambia demu wake kuwa yeye alisoma hadi form 6(sina uhakika), alimaliza shule muda kidogo, ila kutokana na hali ya uchumi wa familia yao hakuweza kuendelea na masomo ila anasema ana akili sana!! ila pamoja na hayo jamaa anaonyesha dalili ya kuanzisha ndoa rasmi!

Sasa jamaa katumiwa sms hiyo apimwe akili yake km ni ya form 6 kweli ama ya kichina, binafsi nikawa sijiamini kwa majibu yangu!
Hata hivyo kuna wakali wangu baadhi nawakubali nimewatumia huo ujumbe ili nao watafsiri, lakini inaonekana HAKUNA MWENYE KUJIAMINI SANA!

Sasa kwenu wanaMMU toeni tafsiri sitahiki, ili jamaa asijishushe kwa mchumba wake na hatimae kukosa ndoa!

Adios!
 
Mmmh nimeshindwa naona hata mimi elimu yangu ya mchina lol
 
Kuna baadhi ya sentensi au maneno ya kiswahili huwezi kufanya utafsiri wa moja kwa moja kwenda kwenye kingereza ndo maana inakuwa ngumu kupata jibu
 
-father,whats my birth order among your children-

mi ngesema ivo, unless unataka direct translation which is rubishh.
 
-father,whats my birth order among your children-

mi ngesema ivo, unless unataka direct translation which is rubishh.

au mwambie aende google translate imuonyeshe kazi..!!
 
Back
Top Bottom