Nenda kwa waliokutangulia wakupe uzoefu au Mamlaka ya usimamizi wa Bima (TIRA) AU chama wa watoa bima Tanzania watakupa muongozoHabari , naomba kufahamishwa juu ya kitu ( uwakala wa Bima) me ni graduate bado sijapata ajira nawaza kujiajiri kwa kufungua ofisi itakayo fanya kazi zinazo jihusisha na Bima yani kama wakala wa Bima, naomba muongozo napaswa kuwa na Capital kias gani kwa kuanza pia nifate taratibu zipi za kupata licence ya hii kitu, na pia ningependa kufahamu napataje faida juu ya biashara. Asante
Habari, naomba kufahamishwa juu ya kitu ( uwakala wa Bima) me ni graduate bado sijapata ajira nawaza kujiajiri kwa kufungua ofisi itakayo fanya kazi zinazo jihusisha na Bima yani kama wakala wa Bima.
Naomba muongozo napaswa kuwa na Capital kias gani kwa kuanza pia nifate taratibu zipi za kupata licence ya hii kitu, na pia ningependa kufahamu napataje faida juu ya biashar
Naona wajibuji hawataki kabisa kutoa majibu.Habari, naomba kufahamishwa juu ya kitu ( uwakala wa Bima) me ni graduate bado sijapata ajira nawaza kujiajiri kwa kufungua ofisi itakayo fanya kazi zinazo jihusisha na Bima yani kama wakala wa Bima.
Naomba muongozo napaswa kuwa na Capital kias gani kwa kuanza pia nifate taratibu zipi za kupata licence ya hii kitu, na pia ningependa kufahamu napataje faida juu ya biashara. Asante
Nilishawahi fuatilia kwa kipindi cha nyuma kidogo, mahitaji ilikuwa unatakiwa kudeposit kiasi fulani kwenye account yako ambayo wao watakuwa na uwezo wa kuifikia pia. Hii ni kuonesha kwamba utakapoanza kazi basi nao watakua salama na pesa yao,ambayo wewe utakuwa unaikusanya. Kila wiki utakuwa unapeleka report ya pesa ulizokusanya na kubanki kwenye akaunti ya bima husika kwa kuwasilisha slipu za benki kwa msimamizi wako watakayekuwa wamekupatia. Hayo ndo matakwa walikuwa wakiyahitaji BIMA.Habari, naomba kufahamishwa juu ya kitu ( uwakala wa Bima) me ni graduate bado sijapata ajira nawaza kujiajiri kwa kufungua ofisi itakayo fanya kazi zinazo jihusisha na Bima yani kama wakala wa Bima.
Naomba muongozo napaswa kuwa na Capital kias gani kwa kuanza pia nifate taratibu zipi za kupata licence ya hii kitu, na pia ningependa kufahamu napataje faida juu ya biashara. Asante
Hufai kuwa hata Mwalimu wa chekechea.. ...Nilishawahi fuatilia kwa kipindi cha nyuma kidogo, mahitaji ilikuwa unatakiwa kudeposit kiasi fulani kwenye account yako ambayo wao watakuwa na uwezo wa kuifikia pia. Hii ni kuonesha kwamba utakapoanza kazi basi nao watakua salama na pesa yao,ambayo wewe utakuwa unaikusanya. Kila wiki utakuwa unapeleka report ya pesa ulizokusanya na kubanki kwenye akaunti ya bima husika kwa kuwasilisha slipu za benki kwa msimamizi wako watakayekuwa wamekupatia. Hayo ndo matakwa walikuwa wakiyahitaji BIMA.
Mahitaji yako binafsi ambayo unatakiwa kujiandaa nayo ni uwe na ofisi , meza na viti kwa ajili ya kuhudumia wateja bila kusahau komputa. Japo kwa kipindi kile nafuatilia mimi nilikuwa nimeahidiwa kupangingishiwa ofisi na BIMA husika na samani zake ,ambayo kwa sasa sijajua kama unaweza pewa vitu hivyo. Hayo ndiyo machache ninayoyafahamu
What is indemnity?Habari, naomba kufahamishwa juu ya kitu ( uwakala wa Bima) me ni graduate bado sijapata ajira nawaza kujiajiri kwa kufungua ofisi itakayo fanya kazi zinazo jihusisha na Bima yani kama wakala wa Bima.
Naomba muongozo napaswa kuwa na Capital kias gani kwa kuanza pia nifate taratibu zipi za kupata licence ya hii kitu, na pia ningependa kufahamu napataje faida juu ya biashara. Asante
Okay ni mtazamo wako siukatai . Msaidie alieuliza swali apate anachokihitajiHufai kuwa hata Mwalimu wa chekechea.. ...