Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,420
- 1,741
Habari za Asubuhi Watanzania wenzangu. Nipo Kigamboni na ninapanda sana daladala ninaona uvaaji wa barakoa (face mask) bado ni kwa kiasi kidogo sana! Uvaaji sio muhimu!?
Natoa rai wananchi wasisitizwe kuvaa barakoa. Nimeona MOI, baadhi ya hospitali na Mahakama za Tanzania wametangaza ili kupata huduma zao ni lazima kuvaa barakoa.
Kwa mtazamo wangu wananchi wengi wangeelimishwa tungeepusha maambukizi mengi. Wananchi bado wanachukulia poa sana! Tena ukivaa ukiingia kwenye daladala ni kama wanakushangaa hivi!!
Sent using Jamii Forums mobile app