nombo toby
Member
- Aug 9, 2016
- 47
- 41
Hadithi za Abunuas zinaelekea kupata mashiko nchini Tanzania. Ng'ombe kumnyonyesha sunguru. Suala la walimu wenye saikolojia na misingi ya sekondari sasa kulazimishwa kufundisha shule ya msingi. Najiuliza, hao waliotoa maamuz hayo wamesoma ktk vyuo gani? Walifuzu ama walihitimu? Cna Shaka majibu mnayo, uhalali wa taaluma zao ungechunguzwa, sion Kama kuna correct reasoning.