Elimu ya Tanzania ya wenye Nacho(Law School na Uozo wake) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya Tanzania ya wenye Nacho(Law School na Uozo wake)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by FFU, Aug 14, 2011.

 1. F

  FFU Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndungu wana JF kwa wanaojua mfumo mpya wa Law scul. Hivi imeanzishwa kwa watoto wa Vigogo ama?? Kila intake utakuta wanafunzi wa UDSM wa 5 au kumi na hawa ndo choka mbaya wengi wao ila Utakuta Tumaini 100 SAUT 100 Na vyuo vingne eti kwakuwa wao wanaweza lipa in Cash. Swali kama bodi imemsomesha huyu Wa UDSM Kwa 4yearz why wasimdhamini? Ikumbukwe Most of those frm vyuo vingne wanajilipia na wanastdy 3yearz. KUNA TETESI LAW SCUL ITAKUWA 2YEARZ sasa mtu atoke 4yearz then 2 yearz dame Tatizo Elimu ya Tanzania inapangwa na Kina KABUDI na watu wachache submited
   
 2. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mh mh kweli we Ni Fanya Fujo uone
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Usishangae, ndo profession zilivyo, ona bodi ya procurement una degree lkn mpake uwe professional inabidi upige level 4 na 5 then ufanye research ukifaulu ndio unakuwa certified! Na huchukuwa almost 2yrs
   
Loading...