Elimu ya sensa kwa jamii

Aug 11, 2022
16
10
Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kujusanya, kuchambua na kusambaza takwimu zakidemographia , uchumi na kijamii kuhusiana na watu wote nchini na makazi yao kwa kipindi maalumu.kwa Tanzania tunafanya sensa kila baada ya miaka kumi (10)

Kwanini tukubalia kuhesabiwa kwa kutoa taarifa zilizosahihi?

1. Ili kutambua watoto ambao wamefika umri wa kuenda shule lakini hawapo shule(4-24miaka)

2. Kusaidia serikali kuboresha huduma ya mama na mtoto ambayo itaenda kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi. Maana kupitia sensa hii tutajua huduma ya jamii zipo kwa kiasi gan ukilinganisha na idadi ya watu.

3. Lakini sensa hii pia itatoa hali halisi ya uchumi kwa mwananchi kupitia dodoso la sensa na dodoso la majengo ambayo hii itaisadia serikali katika kupanga vipaumbele , sera na ilani kwa vyama vya siasa ili kuboresha hali wa wananchi wake.

Naomba tushirikiane na makarani wa sensa (wadadisi ) kutoa taarifa zilizo sahihi pia kufuatilia matokeo ya sensa ambayo ata wewe utayatumia katika kuwekeza kwenye nyanja yeyote itakayo kupendeza.

Sensa na maendeleo, tuwe tayari kuhesabiwa
 
Kuna taarifa zingine ni confidential siwezi kumpa karani wa sensa abadani
 
Hapana inabidi umpe taarifa zote kwa usagihi maana mahojiano yatafanyika kwa kuzingatia sheria ya takwimu ya na.351 kuwa taarifa zote unazotoa ni siri na zitatumika kwaajili ya madhumuni ya kitakwimu tu wala si vinginevyo
 
Back
Top Bottom