ELIMU YA SEKONDARI TWO YRS(QT)

ELIMU YA SEKONDARI TWO YRS(QT)

Joined
Aug 9, 2017
Posts
65
Reaction score
24
Mpendwa msomaji wetu, kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019. Tafadhali hakikisha unachagua kituo chetu kinakuwa kituo chako cha kufanya maandalizi ya kufanya vyema na kufikia malengo yako. Tuna mbenu za kitaaluma kukuwezesha wewe kusoma na kufaulu mtihani wako na hatimaye kufikia malengo yako.
"ELIMU HAINA MWISHO"

kwa maelezo zaidi tupigie au tuma e mail
excellenttrainingcentre20@gmail.com
simu 0676450289
 
Mkuu naomba unisaidie vigezo vya kurudia mtihani kidato cha nne.

Niliwai kusikia wale waliopata zero kidato cha nne huwa hawatambuliwi na necta kwaiyo hawaruhusiwi kurudia tena mtihani wa kidato cha nne.ni kweli eti hili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni kwa kusaidia vijana, na hakikisheni wanapigwa shule na kufaulu kweli kweli, MUNGU NI MWEMA, KUNA NAFASI YA PILI KWA KILA JAMBO
 
Ni mfumo Mzurii mno kwa watu ambao wanauhitaji hongera Sana hii itawaongezea wengi maarifa mimi pia nime pita mfumo huu Nika soma fom one ad six kwa miaka mitatu na nusu tuu Nika timiza ndoto zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unisaidie vigezo vya kurudia mtihani kidato cha nne.

Niliwai kusikia wale waliopata zero kidato cha nne huwa hawatambuliwi na necta kwaiyo hawaruhusiwi kurudia tena mtihani wa kidato cha nne.ni kweli eti hili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, hata kama ulipata Division zero una fursa ya kurudia mtihani kwani namba yako ya NECTA bado inakuwa valid daima, kwa mawasiliano zaidi tupige 0692755311 au 0718 949 610 au fika ofisini kwetu Shule ya sekondari zanaki
 
Ni mfumo Mzurii mno kwa watu ambao wanauhitaji hongera Sana hii itawaongezea wengi maarifa mimi pia nime pita mfumo huu Nika soma fom one ad six kwa miaka mitatu na nusu tuu Nika timiza ndoto zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu, utaratibu huu ni mzuri sana binafsi ni mtaaluma katika fani ya Elimu ya Watu Wazima (holder for bachelor degree in Adult and Continuing Education and Master candidate at Open University)
 
Ni kitu kizuri Sana japo wengi hawajatambua umuhimu wa hii njia

Kusoma miaka Mingi napo ni kupoteza muda kwakwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii ina umri au hata uwe na miaka35 unasoma tu. Ilimradi utokwe na ujinga.
 
Asante sana ndugu, utaratibu huu ni mzuri sana binafsi ni mtaaluma katika fani ya Elimu ya Watu Wazima (holder for bachelor degree in Adult and Continuing Education and Master candidate at Open University)

Miaka ya nyuma niliwahi kufuatilia matokeo ya vituo vya elimu ya sekondari kwa miaka miwili badala ya minne. Hitimisho langu lilikuja kuwa, elimu ya namna hii ni ya manufaa kwa walengwa wachache tu kwani sehemu kubwa ya wahitimu wao walikuwa na matokeo mabaya.

Kwakuwa wewe ni mtalamu wa elimu ya watu wazima, nisaidie kunipa somo, ni kwa namna gani unaweza kuminya mtaala wa miaka minne kuwa wa miaka miwili na ukakupa matokeo chanya?

Je matokeo yenu ya miaka ya nyuma yakoje?
 
Back
Top Bottom