Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
? Nani asiyejua Elimu na uwezo wa Mnyika? Siasa za maji taka hizo!
 
Jibuni hoja sio matusi mnaogopa nini? mafis.adi wote wana elimu kubwa tu. ROWASA,KIKWETE.MKAPA. MEMBE.YONA.NAPE.MWINGURU.KINANA.NA KILA KIGOGO WA CCM.
 
Shahada(Degree),Stashahada(Diploma) na Astashahada(Certificate) mkuu Kasheshe

Petro, asante naelewa sasa alicho nacho ni nini mkuu... it is ok kama sio muhimu lakini tujue tu huyu kiongozi wetu. ana kipi?
 
Last edited by a moderator:
Leteni elimu za akina Lusinde, Lameck Airo, Lukuvi.........alafu tutaendelea
 
Watanzania wanataka kujua Mnyika ana elimu gani hilo ndiyo la msingi.
 



nimeipenda hii. Ondoa elimu ya chuo, pass mark ya form 4 na 6 tu zinatosha kuwazodoa wehu wasio na chembe ya uelewa na elimu zao za kuungaunga
 
Hata ungemwitw DR. ingefaa tu kwa vigezo vya kutoa hoja zilizokamilika, kuchambua hoja kisomi kwa kutoa data halisi pamoja na hekima ya kuwasilisha hoja bila papara wala kukurupuka. Kuna madikta wengi pale bungeni ambao hata hawamfikii huyu dogo!
 
Mkubali mkatae, Mnyika ni kichwa ana uwezo mkubwa wa upembuzi wa mambo na kujenga hoja za msingi
 
mi kitendo cha kumwambie mkulu ni dhaifu? tena kwenye bunge live, afu akakataa kufuta kauli...na yupo anadunda...hata kama anaelimu kama ya majimarefu namwona bonge la shujaa milele...mnaohoji elimu kama mmemzidi oneni aibu kijana alivyomakini...elimu zenu ndo izo za vyupi
 
Reactions: JGG

lukuvi ana elimu gani?
 
Yapo Saumu hajaeleza kuhusu uwepo wake makao makuu na kutoka kwake, shz just a mbulula kutoka barmade hadi kuwa uchapaji makao makuu.
 

dhaifu si ana digilii mbonaànapwaya?
 
Yapo Saumu hajaeleza kuhusu uwepo wake makao makuu na kutoka kwake, shz just a mbulula kutoka barmade hadi kuwa uchapaji makao makuu.

yaani kukubali mayai viza yakae na wewe ni matusi hv akina nape hawana hoja za kuongea zaidi ya za chupini tu? mungu aturehemu tunatawaliwa na fikra dhaifu sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…