Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Kwaiyo wewe ndio mke wake mpaka umshauri au nani hasa? Wewe na elimu yake wapi na wapi? Dogo fuata Maisha yako
 
Lucas Malema ndo nani? Kasome tene jina la huyo jamaa
 
Atarud jamani akipona. msimsimange mgonjwa
 
Tulipoteza miaka 10 ya uwaziri mkuu wa Sumaye,Baada ya kustaafu akenda kuchukua shahada US aliporudi wakati anahojiwa na waandishi wa habari ....faida ya elimu yake ninni?...akajibu "sasa elimu hii imenisadia naelewa chanzo cha unasikini"...hii ndio akili ya Sumaye,tulipoteza miaka 10.
 
Unawasilisha mambo ya uongo tu hapa,sisi tunamjua Julius Malema..huyo Lucas malema kadanganye wana ccm wenzako
 
LUCAS MALEMA ndio Julius MALEMA?, hata hivyo hakuna hoja ya kujadili hapa!
 
Ujumbe ungewapa wale wabunge wa CCM ambao wamesoma na kupata shahada lakini wanashindwa kutumia elimu yao katika kutatua matatizo ya jamii inayowazunguka.
Ukosefu wa shahada usio na hasara ni bora kuliko elimu isiyo na faida
 
What a heck???,ikibidi hivyo mark wa fb,bill gates hata huyu wa jamii forum waombe warudi kuhitimu,,,ggggggghhh what is this anyway?
 
Dropouts siku zote they are succsefuly guys hata Steve jobs,f,,,u.....#&%#..@..c#%-@..c...k
The system
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…