Elimu ya kova inanipa utata

Kwani requirements za cheo chake zikoje?? Na yeye anazo hizo requirements au la?
Ni vyema tukaacha ad hominem na kwenda kwenye issues, I mean kama zipo.

qualification/requirements za kipolisi anazo za kutosha
 
Jamani tuko page ya tatu kuelekea ya nne, hakuna aliyejibu kwa mujibu wa mtoa mada. Swala linalozungumziwa hapa ni kiwango cha elimu cha kamanda Kova ili tupate pa kuanzia kujadili mazuri au mapungufu yake katika utendaji wake wa kazi. Mwenye data aziweke hapa na si vinginevyo!
 
Ni muhimu kujua CV ya mtu maana elimu ndiyo inamfanya mtu awe anaweza kuchambua mambo kwa umakini na si kukurupuka kama Kova

Ndio ambayo inahusiana na thread na ndio ambayo naiulizia, au lugha gongana??
 
Jeshi la polisi si lina wasemaji wake na wameajiriwa wanalipwa mishahara ?
...tehh! tehh!! Shy, huenda Kova aliwaambia warangi wenzie kule kondoa kuwa siku hizi atakuwa anaonekana runingani so watupie majicho yao huko..Maana jamaa akiwa mbele ya camera utadhani zile picha zetu za mnato tulizokuwa tunapiga mwaka 47!
 
Jamaa inatakiwa atafute mtuy wa kumuandalia maneno ya kuongea kwenye media, maana anaonekana kama anaropoka.

Wanatakiwa wawe na police reporter (Msemaji wa police) ambaye atakuwa ana kutana na watu wa media na sio Kova. Kunatakiwa kuwe na mgawanyo wa madaraka jamani sio lazima Kova uonekane kwa runinga, ila kama inabidi awepo kujibu hoja basi nae awepo pembeni. hata kuangali jamani vi series vya wenzetu huko majuu na kujifunzia hapo hatuwezi ila kuiga vingine twaweza

Tanzania tuna mediocre wengi weather wana digrii au Phd(fake).
Kwa sasa watu wanateuliwa kwa elitism na udini.
Badala jeshi la Polisi kudeal na hard criminals sijui kwa nini wanamfuata Jerry!

Hatuna free media,ie independent journalists ambao wanaweza kuandika lolotebila kufuatwa fuatwa.

Moderator mimi sina imani nao maana nashindwa kuattach CV ya Mh. Sana wa vyombo vya Habari na Msemaji mkuu wa Geshi la Polisi Hapa Bongo sababu Moderator wanafuta Post zangu ila yeye ni Form Four and Certificate of Law aliyoipata Police Collage Mwaka 1984 basi hakuna kingine si unajuaUdini ndo umemleta Hapo Bongo. Mbona kuna Wazee kibao wanafanya kazi wanaishia kuhamishwa vituo tu wanafichwa haya anayajua IGP ukimuuliza kunamaofisa waliovumbua ukweli na wamehamishwa hana ubishi na hilo.
 
Acheni hisia waungwana,Jerry aje wkenye media atoe ukweli wote,pingu zilikuwa zinafanya nini kwenye gari lake?

Hisia si nzuri kwenye mambo kama haya,isije tukawa tunamtetea mla rushwa aka FISADI
 
Hebu fikiria kama Kova anakuwa IGP na Makamba anakuwa Rais, Agness Nyoni aliyeko Afya awe Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa fedha awe Gavana wetu wa sasa na Waziri mkuu awe Pesambili. Mwanasheria wa serikali awe nani nani yuleeeee mwanasheria aliyehama kutoka CHADEMA kwenda kuwa mawanasheria wa CCM. Kiongozi wa upinzani awe Mtikila. Patakalika mkao gani Tanzania?

Leka
 
Kudadeki hao wote mafyatu..
 
wengi wetu huw tunasubiri ''matukio yanayotugusa'' ili tuhoji elimu ya kova!...we nenda mbeya watakwambia KOVA NI NANI!
 
hivi inawezekana kweli Tanzania kuwa nchi ya ajabu namna hii, kwa mtu "mkubwa" na maarufu kama KOva CV yake kutojulikana kabisa, hivi hata alipopandishwa cheo wasifu wake haukusomwa kabisa?
kama ni kweli form four, basi hilo jeshi haliwezi kuwa na mambo ya maana, kwa dunia ya sasa ya sayansi na technologia unaweka viongozi ambao hawana elimu kabisa,

JF the home of Great Thinkerz, na source ya data tuwekeeni hiyo CV bac,

Mzee wa nyeti FEMs upo wapi?
 
Hebu fikiria kama Kova anakuwa IGP na Makamba anakuwa Rais, Agness Nyoni aliyeko Afya awe Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa fedha awe Gavana wetu wa sasa na Waziri mkuu awe Pesambili. Mwanasheria wa serikali awe nani nani yuleeeee mwanasheria aliyehama kutoka CHADEMA kwenda kuwa mawanasheria wa CCM. Kiongozi wa upinzani awe Mtikila. Patakalika mkao gani Tanzania?

Leka
Kaka umefikiria na kuona mbali sana....yule wa wizara ya afya anaitwa Blandina Nyoni
 
Tabia za Polisi nchi zetu hata akiwa na elimu gani, awe na cheo gani,..jazba huwa ni sehemu ya kazi, kila wanaemwona mbele yao ni kama mharifu kwao.. Wangekuwa wanabanwa sana na sheria kama kwa Polisi wa nchi za UK kutokupiga wala kuwafanyia fujo wahalifu ingekuwa balaa zaidi..
 
Hebu fikiria kama Kova anakuwa IGP na Makamba anakuwa Rais, Agness Nyoni aliyeko Afya awe Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa fedha awe Gavana wetu wa sasa na Waziri mkuu awe Pesambili. Mwanasheria wa serikali awe nani nani yuleeeee mwanasheria aliyehama kutoka CHADEMA kwenda kuwa mawanasheria wa CCM. Kiongozi wa upinzani awe Mtikila. Patakalika mkao gani Tanzania?

Leka

..kama ni shule huyu mama kasoma vizuri tuu,nafikiri ana MSc or CPA,namjua vizuri sana.....lakini sio Agnes ni blandina nyoni.
 
Back
Top Bottom