Elimu ya juu ni michakato mwanzo mwisho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya juu ni michakato mwanzo mwisho!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mtanganyika tz, Dec 5, 2011.

 1. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kwa wale waliofanikiwa kujiunga na taasisi za elimu ya juu! nadhani mtakubaliana na hoja yangu kwa asilimia mia!!!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hoja gan sasa?
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  fafanua hiyo michakato!
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ameshindwa tu kupanga hoja ila alimaanisha elimu ya chuo sio kukaa darasani tu na kufaulu kwa GPA nzuri bali ni mzingo wa michakato mingi wakati mwingine na uwanaharakati ndani yake. Migomo, virungu, maji ya kuwasha, kukosa boom, kunyimwa mkopo, kumeet deadline ya ku submit assaignmets nk.
   
Loading...