Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Kuna madaktari na walimu matajiri....Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.
Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.
Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.
Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.
TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
(Nanunua kesi hii kwa hoja)mtoa mada una elimu gani?
Nimesikia Chenge ana mihela UswissNimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.
Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.
Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.
Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.
TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
hakuna utajiri wa theory, utajiri ni sifa inayopatikana kwa vitu halisi!Kwani watu wa kada tajwa hapo wanafanya kazi usiku na mchana ili iweje!?
Its simple wa nataka utajiri wa masese, shekeli, au visenti mkuu. Utajiri wa roho wangeenda kwa Gwajima na kuachana na kazi zao maana huo unapatakina huko.
mafanikio siyo utajiri, mafanikio ni kuwa zaidi ya vile ulivyokuwa na kuwa na zaidi ya vile ulivokuwa navyo, hasa vile ulivyotamani kupata, au vyovyote bora vinavyokufanya kuwa na hatua ya kwenda mbele.Unatafsiri VIP utajiri ndugu? Unadhan kua na hela ndio utajiri? Unajua kutofautisha mwenye Mali na MTU aliefanikiwa?? Unajua kuutofauyisha utajiri na mafanikio??? Labda unachanganya HIV vitu viwili
Sorry ni simu imezinguaImplication au application
mkuu mbona swali rahisi lakini umelijibu kwa hisia. swali umelijibu kwa mtazamo hasi.(Nanunua kesi hii kwa hoja)
kujua elimu yake kutakusaidia nini ikiwa hujaelewa ujumbe wake?
au katika kuelewa ujumbe lazima ujue cv ya mtu?
"unaweza kumpuuza mwehu, ila kamwe usipuuze maneno yake"
akisema "nitakuua" unatakiwa ujihadhari, usipojihadhari yanakukuta mauti!
kwa mantiki hiyo angalia ujumbe na mantiki yake, usitafute kujua elimu ya mtoa ujumbe.
ndio maana walimpiga chini lowassa aliposema kipaumbele elimu elimu elimu wao wanaona aina faidaKwa post yake inaelekea hana elimu ya juu!!! Sio kwa kutushusha kiasi hiki...
Kama ule wa azam, mo nkUnaposema askari tajiri,mwalimu tajiri,nurse tajiri unatumia kigezo gani kuujua utajiri wa MTU? Au utajiri wa namna gani unaouelzea hapa?
Mkuu huwa una akili sana ukiacha pombe za kienyeji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji10] [emoji23]
Ukiongeza maarifa sasa ndo inakuwa ushajibrand vizuri na kila MTU anakutaka umfanyie kazi yake inayohitaji maarifa yako.Mshike sana elimu.tunasoma kuongeza maarifa sio kuwa matajiri
Ngoja nikupe jibu rahisi, wanaongelea kama utajir wa bahresa vileUnatafsiri VIP utajiri ndugu? Unadhan kua na hela ndio utajiri? Unajua kutofautisha mwenye Mali na MTU aliefanikiwa?? Unajua kuutofauyisha utajiri na mafanikio??? Labda unachanganya HIV vitu viwili