Elimu ya juu huleta umasikini

Elimu ya juu huleta umasikini

Unacho sema ni kweli lkn bila mitaji hapo ni kutwnga maji kwenye kinu yata kilimo kinahitaji pesa za kutosha
Kumbuka kazi za serkal kuna security
Unaweza pata mtaaji
Tatizo hata uki invest kama hauna elim ya ku ongoza miradi nikama unatwanga maji kwenye kinu
 
Hivi unafahamu kuwa namba kubwa ya matajiri tulio nao si wa halali ?" Jaribu kufuatilia utakuta majambazi, wala rushwa, wauza unga, watoa kafara ndugu zao, matapeli na wapiga ramli waliojifunika miavuli ya viongozi wa kidini nk
 
Unachosema ni kweli, elimu inadumaza watu akili... Wanashindwa kufikiria vitu vya maendeleo na kutegemea kuajiriwa tu.

Nimewai ona kuanzia nurse hadi dactari tajiri. Ni jinsi anvyopanga maisha yake. Ukitegemea mshahara tu ndo unadumaa kiuchumi, ila kuna wanaofanya shughuli zingine pembeni. Aliekwambia mtu alie ofisini mda wote anashindwa kua na shughuli nyingine nani?? Unaajiri watu na kuendelea kula pesa pande zote mbili. Yaani kuna lecturers wapo vyuoni kila siku lakini pia ni wamiliki wa kampuni zinazoendelea vizuri, shule na mahoteli. Ni akili ya mtu pia...
Akili ya darasani ukiongeza na akili ya maisha unapata kitu amazing sana.
 
Unaposema askari tajiri,mwalimu tajiri,nurse tajiri unatumia kigezo gani kuujua utajiri wa MTU? Au utajiri wa namna gani unaouelzea hapa?
Ni bora ungesema ww unaulizia utajir wa aina gani ndgu
 
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.

Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.

Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.

Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.

TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
Education is Power-Sir Francis Bacon.

Kuwa na Elimu tu ya Suala lolote ni Jambo la Msingi tofauti na Ujinga {Ignorance} katika namna yeyote ile.Ngugi wa Thong'o anakuambia "Hata umasikini ungeuzwa bei gani nisingeununua".Unapozungumzia vitu viwili ELIMU NA UTAJIRI kwa wakati mmoja ndiyo mwanzo wa kuifanya mada yako iwe Narrow sana Mkuu.

Hakuna Uhusiano wowote wa Elimu na Utajiri.Yaani namaanisha hivi,Unaweza kuwa na Elimu ya Juu kama ulivyoiita pale juu na usiwe tajiri.Pia unaweza kuwa Masikini na usiwe na Elimu ya Juu.

Kama kuwa na Elimu mbalimbali ni kuwa na Utajiri {Kwa maelezo yako pale juu} basi Maprofesa wote wangekuwa na Utajiri kwakuwa wao ndiyo wenye Elimu kubwa kuliko sie kina kabwela.

No research No right to speak.Kawafanyie tafiti Matajiri woote unaowafahamu ulimwenguni kote ambao kwa namna moja au nyingine hawakuipata Elimu sawasawa then uwaulize kuhusu Faida ya mtu kuwa na Elimu then usikie majibu watakayokupa.In short ni kuwa wengi wao wanajutia mno kutokuwa na Elimu so In general EDUCATION IS THE BEST THAN BEING IGNORANT BY ANY MEANS.

Suala lingine ni kwamba,Siyo lazima wote watakaosoma Elimu ya Juu wawe Matajiri.Wengine hawakwenda kuipata hiyo Elimu unayoiita ya Juu ili waje kuwa Matajiri.

I submit.
 
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.

Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.

Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.

Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.

TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
Hapa Kuna ukweli mtupu.Zamani watu wenye hela walikuwa Ni waajiriwa. Lakini walipostaafu tu wakajikuta wanaishi kweny dimbwi la umasikini.Mfumo wa elimu ulilenga kuajiriwa. Elimu ya sasa inatakiwa ilenge mwanafunzi kuwa na uwezo wa kujiajiri.Hii itaondoa udanganyifu katika mitihani na vyeti. Maana kila mtu atakuwa na uwezo wa kujiajiri mweyewe bila kutegemea kuajiriwa.
 
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.

Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.

Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.

Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.

TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
Kwani askari nae ni msomi wa Elimu ya juu!?
 
Unaposema askari tajiri,mwalimu tajiri,nurse tajiri unatumia kigezo gani kuujua utajiri wa MTU? Au utajiri wa namna gani unaouelzea hapa?
Utajiri wa hela.Kuwa na uwezo wa kutengeneza uchumi wako mwenyewe kwa muda wako.Hizi ni kazi za kutoa huduma tu.
 
Mimi bado naamini elimu ni ufunguo wa maisha ila kuna tofauti kubwa kati ya maisha ya zamani na maisha ya leo. Zamani elimu ilkua ikifungua maisha sawa sawa ulikua ukimaliza tu f4 lazima upate pa kujiweka sababu wasomi walkua wachache. Lakini Elimu kama ufunguo wa maisha ya sasa ni tofauti sana ikumbukwe kuwa kila nyumba kuna msomi either wa level ya cheti, stashahada au shahada na wengi wao wanatafuta ajira. Je serikali na kampuni bnafsi wanaweza kuajiri wasomi wote?. Ifikie wakati wazazi waanze kuwawezesha watoto wao ili waweze kujiajiri.
 
Unaposema askari tajiri,mwalimu tajiri,nurse tajiri unatumia kigezo gani kuujua utajiri wa MTU? Au utajiri wa namna gani unaouelzea hapa?
Unatafsiri VIP utajiri ndugu? Unadhan kua na hela ndio utajiri? Unajua kutofautisha mwenye Mali na MTU aliefanikiwa?? Unajua kuutofauyisha utajiri na mafanikio??? Labda unachanganya HIV vitu viwili
si kila mtu lazima awe tajiri hapa duniani wengine wanatoa huduma kwa jamii imagine tusingepata madaktari, profesa, halafu umeongelea nesi mbona huwa wanaishia form four tu wanaenda chuo hawafiki elimu ya juu
Sasa naamini jF ina members ambao hamjitambui kabisa. Ni nchi gani duniani umesikia kila anayasoma basi kaajiriwa? Na si kila mtu eti kwa sababu kasoma basi anaweza jiajiri, baadhi ya fani lazima ziwe financed na serikali au mashirika mengine. Mfano wewe ni Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo, utaweza kuanzisha hospitali ya upasuaji moyo???

Wakati mwingine kama huna hoja ya maana kuleta jF bora ukae kimya.

Thanks alot "Thinkers".

Mlichokiuliza kina mantiki sana hivyo sikuona ulazima wa kurudia kumuuliza Maswali mliyokwisha kumuuliza Bwana Wadogo.

Tunakuwa na ufikiri Mwembamba mno ndiyo maana tunashindwa kutofautisha na kungamua vitu vyepesi namna hii.Sidhani kama kuna uhusiano wa Moja kwa moja baina ya Elimu ya Juu [Kama alivyoiita mtoa mada] na Utajiri.

Ahsanteni kwa Maswali.Ngoja niyasubiri majibu yake.

Congrats.
 
Unaposema askari tajiri,mwalimu tajiri,nurse tajiri unatumia kigezo gani kuujua utajiri wa MTU? Au utajiri wa namna gani unaouelzea hapa?
Hata uulize maswali vipi ni kujifanya kujua tu.ukweli wa tajili aliousema mleta mada umeshaujua na mleta mada yuko sahihi sana tu...Soma,Ajiliwa,Fanya kazi,Kua masikini wa pesa na mawazo
 
Mimi bado naamini elimu ni ufunguo wa maisha ila kuna tofauti kubwa kati ya maisha ya zamani na maisha ya leo. Zamani elimu ilkua ikifungua maisha sawa sawa ulikua ukimaliza tu f4 lazima upate pa kujiweka sababu wasomi walkua wachache. Lakini Elimu kama ufunguo wa maisha ya sasa ni tofauti sana ikumbukwe kuwa kila nyumba kuna msomi either wa level ya cheti, stashahada au shahada na wengi wao wanatafuta ajira. Je serikali na kampuni bnafsi wanaweza kuajiri wasomi wote?. Ifikie wakati wazazi waanze kuwawezesha watoto wao ili waweze kujiajiri.
Thanks!

You think great.
 
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza watu katika direction ya maisha. Serikali ingeweka mfumo ambao mtu akisoma awe na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri pia tofauti na ilivyosasa.

Mtu anamaliza chuo kikuu akirudi mtaani hana tofauti na yule aliyekomea la saba labda tofauti ya kuvaa yaani msomi atakuwa anamodoa nguo zake lakini wa la saba anavaa kipapaa.

Wale ambao wameajiriwa ni watumwa, mfano mwalimu anakipindi kimoja kwa wiki lakini analazimika kuhudhuria shuleni muda wote wa kazi yaani SAA 7:30 mpaka 3:30 harusiwi kutoka njee ya kituo cha kazi kufanya Mishe zake.

Umewahi sikia kuna mwalimu tajiri? Umewahi sikia kuna nurse tajiri? Umewahi sikia kuna askari tajiri? Umewahi sikia kuna dactari tajiri? Utajiri umeumbwa kwa ajili ya nani? Kwanini ung'ang'anie kutafuta ajira? Watu wamekuwa wakisoma ili wapate makaratasi(vyeti) bila kujua makaratasi hayo yanamchango gani kimaisha.

TAFUTA FEDHA USITAFUTE ELIMU
Na wewe ni tajiri? Wapi ulipojifunza kuwa lengo la elimu ni kutajirisha wanaopata elimu?
 
We nenda directly kuwa unataka kutushawishi kujiunga forever living

Mnaanziaga mbali sana
Swaqta mkuu bora umeliona mapema nmekaa nkajiuliza sana huyu mtu ana upeo gani wa elimu? Eti umewahi ona wapi daktari tajiri hahahaha mkuu unajua ela anazomiliki daktari ama unalopoka tu! Binafsi nipo kitengo hiko najua raha ake wee kaa ivoivo na umbumbumbu wako usiwasomeshe wanao.
 
Sasa naamini jF ina members ambao hamjitambui kabisa. Ni nchi gani duniani umesikia kila anayasoma basi kaajiriwa? Na si kila mtu eti kwa sababu kasoma basi anaweza jiajiri, baadhi ya fani lazima ziwe financed na serikali au mashirika mengine. Mfano wewe ni Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo, utaweza kuanzisha hospitali ya upasuaji moyo???

Wakati mwingine kama huna hoja ya maana kuleta jF bora ukae kimya.
Mkuu mim leo nmeshangaa sana huu uzi alouleta ana elimu gani! Basi tutoe elimu je anaupeo gani wa maisha!
 
Umeanza vizuri ila hapo kwenye bold umechemka. ..
Kwanza tupe scale ya utajiri.
Pili kwa taarifa yako wako madaktari matajiri, walimu maskari n.k
Kuhusu elimu ya Tanzania ... kasoro kubwa iliyopo ni kwamba ile inayoitwa elimu ya msingi siyo kabisa. Haimpi msingi mwanafunzi huyo.
Wataalam wa elimu wangeifumua na kuweka somo la Umahili wa kazi somo ambalo lingemfanya kila mtu awe makini kwa lolote analofanya.
Mi nawafahamu mafundi wa kushona ambao ni matajiri kabisa na wamefikia hatua ha kuajiri.
Namfahamu mwalimu mmoja mfugaji wa kuku wa kienyeji aliamua kuhachana na ajira na kuendelea na ufugaji,,, ni tajiri mkubwa tu.
Kuhusu maaskari ao sitaki kuwaongelea kwa sababu kila mtu anajua utajiri wao umeegemea wapi.
Nasisitiza UMAHILI WA KAZI ... hili ndilo somo ambalo kimsingi lingemkomboa mtanzania.
Mkuu heshma yako upite tupate unywaji yakheee
 
Back
Top Bottom