Do research before erupting onto the facts you assert are true while you stand with incomplete investigation, he is a holder of LL.B from UDSM: UDSM Law Alumni
amezaliwa siku ya umbea dunian huyo.badala ya kufikiria maisha yako unafikiria mtu mwenye maisha yake tena mazuri.watu kama nyie ndo tunasema mnadumu tu hapa duniani
MWEMA ALISOMAGA KWA KUUNGAUNGA TUU, HAJAWAHI KUKAA DARASANI KUPATA ELIMU YA SECONDARI NA HIGH SCHOOL, (Private candidate) Baadaye akaingia pale mlimani akiwa mtu mzima kabisa aliyechelewa kuingia chuoni wakati huo akiwa bado ni askari polisi akisoma uzeeni, Alifanikiwaga kwenda marekani kusoma kozi fupi.alivyorudi ndio kuanza kupewa ukamanda ... baadae ndio akachongewa laini ya ahadi ya kuwa IGP baadaye kikwwete atakapoingia madarakani, kwasababu tuu ya ushemeji na kikwete.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.