Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo kwenye attachment yangu.
Mbona ni degree holder wanao hitajika au ume comment pasipo kusoma😂 mtoa mada kamaanisha wanataka mwenye degree aliyepita form 6 kulingana na tangazo
Maana wapo wenye degree waliopita diploma
Mbona ni degree holder wanao hitajika au ume comment pasipo kusoma[emoji23] mtoa mada kamaanisha wanataka mwenye degree aliyepita form 6 kulingana na tangazo
Maana wapo wenye degree waliopita diploma
Baadhi ya course lkn mpk sasa technicians wanalamba asali kuliko degree mfano...
Civil tech
Mechanical tech
Electrical tech
Sijui ni kubana matumizi au vp...