Elimu ya Dkt. Lucas Webiro wa CHADEMA kutoka Bunda

keteka

Senior Member
May 12, 2013
149
52
Citizenship: Tanzanian by Birth since 23 April 1967.

Marital status: Married with Four children; Neria,Ester,Kelvin,Wisdom.

Education: Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011.

MBA Finance (with distinction) Head of Accounting Department, Faculty of Commerce and Management, University of Dar es salaam, February 2005.

BCOM accounting (with 2nd class Hons), University of Dar es salaam, June 2003.

Advanced Secondary Certificate Education, Arusha secondary school, May 2000.

Ordinary Secondary certificate Education, Bunda secondary school November, 1997.


Working Experience: Government Accountant under Sections of Expenditure, Revenue,Budgetary controll,Financial Planning and controll. Also Economic sections as advasory Team leader for 3 years since november 2012 up to date

Lecturer under Microeconomics analysis, Public Finance Accounting, Finance and Banking Courses, 2011 to date.

Coordinate the establishment database project analysis and appraisal for foreign fund Management Systems. 2006 -2007

Coordinate Research in Rural Business Development Project For Morogoro District Project, 2003-2005.


Published and Seminars/ Training workshops Performed:
Lucas,G.Webiro(2014)International Finacial Management vol-2,Oxford University Press,London.

Lucas,G.Webiro(2014) Principle of Mangerial Economics -1st edition, University Press, Dar es Salaam.

Lucas,G.Webiro(2013) Poverty Reducation in rural Economcs in Tanzania, University Press, Dar es Salaam.

Lucas,G.Webiro(2013) Principle of Economics-II , University Press, Dar es Salaam.

Lucas,G.Webiro(2013) Micro-Economics Analysis- I,Oxford University Press,London.

Lucas,G.Webiro(2012) Introduction for Micro-Economics Analysis II, University Press, Dar es Salaam.

Lucas,G.Webiro(2012) Introduction for Micro-Economics Analysis I,Oxford University Press,London.

Lucas, Gapinga WEBIRO (2006) Introduction for Financial Management, University Press, Dar es Salaam.

Lucas, Gapinga WEBIRO (2006) Introduction of Business Plan Proposal, Finance journal 1,202-242



Conference Presentation: Introduction of new version ITA 2003 on the capital reduction held at Morogoro, August 2004

Seminar Presentation: Cost sharing on health sector in Tanzania Seminar held Arusha August 2006

Affiliation: Member of ACCA 2005


Teaching: Tutor for 1st and 2nd year undergraduates Accounting Principle and Management Theory ICM LONDON 2003-2004

Administration: Assessor of the final exam of Diploma course of ICM 2005/2006
 
lile suala lake la kutapeli mafuta kwa kujifanya yeye ni mbunge wa chadema ameshalimaliza?ni wakati wakuwa makini katika kupitisha wagombea,sidhani kama elimu huwa inatengeneza uongozi bora kama elimu ingekuwa ni kigezo basi ccm wangekuwa mbali maana wana maprofesa kibao lakini utendaji na uongozi 2ao ni bureeeee..
 
This is a CROOK MAN.......Just like Tibaijuka and the
alike


👌👉 Despite such a huge age interval 30 years for only O - LEVEL studies completion, huyu ni MZIGO ZAIDI YA KAWAMBWA AU MAGHEMBE....ndio type hiyo...!!!


👌👎👉 He failed to understand these DAYS USOMI FAKE KAMA WAKE with ZERO RESULT ORIENTED HAFAI HATA UMWENYEKITI WA KIJIJI....!!!

👎👌👉 Akaombe kazi MKOMBOZI BANK....au Stanbic kuna NAFASI ZA WATU WA TYPE YAKE...!!!

CDM are never stupid to select watu wa type yako...!!!
 
kuzaliwa 1967, O level 1997 , A level 2000 yaani alisoma sekondari akiwa na miaka 33 !
huyu ni shida! hapo hakwepi tuhuma za kughushi ! yaani ameanza form 1 na miaka 27 ! huyu bora amejileta hapa! wenye mamalaka wamchunguze! kuwa ilikuaje aingie form 1 na miaka 27 kwa shule za serikali! na sio Gumbaro !
kwenda chuo kikuu na miaka 34 sio tatizo... ila doubt zinaanzia hapo kusoma shule ya sekondari form 1 na miaka 27 tena shule ya serikali!
 
lile suala lake la kutapeli mafuta kwa kujifanya yeye ni mbunge wa chadema ameshalimaliza?ni wakati wakuwa makini katika kupitisha wagombea,sidhani kama elimu huwa inatengeneza uongozi bora kama elimu ingekuwa ni kigezo basi ccm wangekuwa mbali maana wana maprofesa kibao lakini utendaji na uongozi 2ao ni bureeeee..

Tatizo la ccm awaangalii elimu wao ni dili tu
 
kuzaliwa 1967, O level 1997 , A level 2000 yaani alisoma sekondari akiwa na miaka 33 !
huyu ni shida! hapo hakwepi tuhuma za kughushi ! yaani ameanza form 1 na miaka 27 ! huyu bora amejileta hapa! wenye mamalaka wamchunguze! kuwa ilikuaje aingie form 1 na miaka 27 kwa shule za serikali! na sio Gumbaro !
kwenda chuo kikuu na miaka 34 sio tatizo... ila doubt zinaanzia hapo kusoma shule ya sekondari form 1 na miaka 27 tena shule ya serikali!
Amesoma kwa mpango wa MEMKWA
 
Hamna kitu hapo. Anajua kuandika CV tuu. Hamna kitu kabsaaa. Huyo akagombee kwa tiketi ya magamba.
Anyway, wabunda wataamua. Ila naamini hatakuwa tofauti saana na akina Mzito kabwela & the likes.
 
Jamani anaweza hakuna kinachoshindikana!!! tumpe nafasi..
lakini tatizo la wasomi ni kutokubadilisha mazingira ya kiafrika!!
 
Amesoma kwa mpango wa MEMKWA
mkuu huyu labda itakuwa GUMBARU. hiyo MEMKWA nadhani ilikuwa haijatake off! ila kama amesoma MEMKWA na hatimaye kuwa Mhadhiri chuo kikuu, basi huu Mpango maalum wa Elimu ya Msingi kwa walioikosa (MEMKWA) umepata mafanikio! yote hayo ni hapo atakapothibitisha ! hili doa la kughushi ni mzimu utakao muandama daima!
kujiingiza kwenye siasa kumesaidia Jamii imfahamu.
 
Hata huyu wasira hajaingia class kabisa,anaelimu ya tapa,kujua kusoma na kuandika bila kwenda shule.
 
1428603792796.jpg akuwa mpambanaji kwa Bunda tangu 2011 naomba wanajamvi tumsupport huu kamanda kwa maendeleo ya Bunda
 
Jamaa ni jembe la ukweli hapa town bunda huyu jamaa sio mpinga viroba tumsupport kwa hii kazi ya kuwaletea mabadiliko wanabunda 1428604812450.jpg
 
Back
Top Bottom