Kama wana jamvi tuna tumia sura na elimu kujadili kiongozi kwa wanabunda hebu tusikie hoja zake kama zinaweza kuwapeleka wanabunda kupata majibu ya matatizo ya Maji,matatizo ya afya,matatizo ya elimu na matatizo ya ajira kwa vijana kwa sasa mh.dkt.Lucas Webiro umwana wa yeka amefanya mengi kwenye elimu na afya.angalia haya matukio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.