Elimu ya darasani haifai kwani humpotezea mwanafunzi muda

Hizi ndizo point konk
tatizo mitaala yetu inatufanya tukariri zaidi( theories without practical is useless) badala ya ku encourage creativity and innovation specifically kwenye coz kama engineering and science related course ingetakiwa kuwe na research/project ambazo sio za ku copy an ku pest, Tena ingetakiwa tuwe na course kama vile

wale walio pata division i za mwanzo kabisa za PCB wakasome Pharmacology degree, Biochemistry, cancer biology and therapies etc iliwajikite zaidi kwenye utafiti wa madawa na vifaa tiba mbalimbali, naizi ndizo kozi zinazo takiwa for most students ambao wana outstanding performance.. sasa unakuta wanakimbilia udaktari, unesi na ufamasia nakubakikuwa mashabiki wawazungu na wachina......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakupata hata kidogo, Kwa maana hoja zako nyingi hazina maana wala uhalisia.
Habari zenu wanajamvi naamini nyote ni wazima.

Nina Imani wewe unayesoma habari hii umeshapita darasani ama ni mwanafunzi kwa Sasa.

Lengo la kuandika habari hii sio kwamba ni kuwakatisha tamaa, Kama umeamua kusoma soma, usikate tamaa kwani hakuna walimu, madaktari, rubani, wahandisi, wanasheria, bila kupita DARASANI .

Japokua wasomi wengi humu mtanipinga kwa sababu mmepitia elimu ya vyeti lakini hamna elimu ya ubongo,ngoja niwape hasara ya elimu ya vyeti.

1.Kwanza huchelewesha maendeleo mf. Umesoma darasani miaka ishirini tano tangia shule ya msingi Hadi chuo kikuu fikiri alieacha shule nakujiunga na biashara Leo hii yeye ni tajiri, na Ana uwezo wa kuendesha biashara, lakini msomi na vyeti vyake ni mwoga wa kuanzisha biashara pamoja na kuibiwa, Licha ya hivyo una taaluma na utalaamu wa kukariri ambapo hata ukipewa ulichokisomea huwezi kukifanyia kazi,

mf. Mwalimu anafundisha kipenyo cha duara Ila hawezi kukitumia kwa kutengeneza kisima cha duara, lakini fundi ambaye hakupita darasani Ana uwezo wa kupima kipenyo na kutengeneza kisima cha duara na kukadiria ujazo wa kisima hicho.

2.Kutojiamini.wasomi wengi hawajiamini Bali wasio soma huonyesha upeo walioko nao kwa kuutumia ambapo unatoa maendeleo chanya, mfano akiamua kulima analima kweli, akiamua kufuga anafuga kweli, ndio maana watu Kama hao wanamiliki mashamba na mifugo wengi, lakini msomi Kama afisa kilimo unakuta ni mrembo analalamika hakuna ajira wakati mashamba na mifugo ipo Ila anasubiria kazi ya kuajiriwa, mhasibu anaweza kujiajiri kwenye biashara ya mtaji mdogo hata ya kuuza karanga lakini kwa kuwa anatetea vyeti na woga wa elimu yake hawezi, anabaki jasiri ambaye hajasoma anatembeza na anatoka kimaisha.

3.Uvivu. wasomi wengi ni wavivu kwani mda mwingi huutumia darasani bila ya kufanya kazi ili hali aliyeko mtaani ana stamina na uzoefu wa mtaani ambapo akiamua kupiga kazi anafanya kweli kwa kuhimili kwa mda mrefu.

4.Hupoteza kipawa au kipaji cha kuzaliwa . Wapo watu wengi wamepoteza vipaji vyao ambapo Leo hii ungelikuta wao ni mabilionia lakini darasa limewaharibia ambapo wa mtaani hutumia vizuri KIPAWA NA KIPAJI CHA KUZALIWA ambacho huwapa mamilioni au mabilioni.

5.Huharibu afya na akili kwa ujumla. Kumbuka aliyegundua shule hakusoma Ila alitumia akili ya kuzaliwa kuanzisha shule, fikiri hata mtu wa kwanza kupata PhD duniani alipata elimu kutoka kwa mtu wa kwanza ambaye hakufundishwa na mtu bali akili yake aliyopewa na Mungu, ambapo shule huharibu afya ya mtu kwa kumpa msongo ambao ni hatari kwa afya kwan hakuna kitu kinachomaliza afya kama kuwa msongo wa mawazo, kwani shule haina tofauti na jela kwasababu unatakiwa utii bila kupinga, kuna mavazi kama jela Licha ya chuo kikuu, Kuna muda maalumu na unatakiwa ufuate mawazo yanatolewa bila kupinga unakula kwa ratiba maalumu na kulala kwa mda maalumu ambapo usipotii unapewa adhabu Kali ama kufukuzwa .

6.Kuajiriwa . Wasomi wengi hawawezi kujiajiri bali huajiriwa na wasio soma mfano mzuri wamiliki wengi wa shule binafsi, biashara kubwa na viwanda ni watu waliokata tamaa na shule na hawakumaliza na ndio wenye maisha mazuri kupita wasomi, na huwaajiri hao hao wasomi kwenye makampuni yao kwa kuwalipa mishahara na unakuta hela yake alianza kwa kuuza vitumbua

7.Elimu ya darasani kubadilika mara kwa mara.Elimu huweza kubadilishwa na mtu ambaye hata hajasoma ilimradi ajue SIASA kidogo tu ambapo huyo huyo kachaguliwa na msomi ambapo KUBALISHWA KWA ELIMU NI KUHARIBU ILI PASIPATIKANE MSOMI WA KUKOSOA MADARAKA kwani kumtawala msomi ni rahisi kuliko kuongoza mjinga kwani Ana uwezo wa kujitoa mhanga kwa kupinga Ila msomi ni mwoga kwa sababu elimu siku zote ni utii pamoja na woga.

Niishie hapo kwa kusema ((being an educated man being a foolish,AND being a business man being an animal. ENJOY YOUR DAY.

👉Watu wote duniani wangelikua wa somi maisha yasinge wezekana.
👉watu wote duniani wangelikua hawaja soma maisha yasinge wezekana..
Hivyo basi duniani tuanishi kwa kutegemeana na ndio maana hata wasomi wenyewe waliopo wana fani tofauti tofauti lengo huyu akijua kile huyu anajua hiki ili kila mmoja atatue tatizo la mwenzake.
👉Hivyo basi wasomi wana umuhimu wao na wasio soma nao wanaumuhimu wao.
 
Tatizo hapa lipo kwenye kulishana matango pori darasani, eti elimu ya darasani kumbe ni UPUUZI MTUPU

hivi kwani kuenda darasani ndio tunapata wasomi? Kwani usomi ninini?

Miaka mingi sana mtu unaipoteza darasani kwa kitu kidogo sana ambacho ungepewa kwa muda mchache tu inatosha kukikamilisha

KUNA WATU TANGU PRIMARY SCHOOL WANASOMA KIINGEREZA MPAKA PhD (hahaah et elimu ya PhD) NA HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA. (hii inaonesha wazi udhaifu wa elimu ya darasani)

ELIMU YA DARASANI NI KUPOTEZA MUDA WAZI WAZI

Eti mtu anakwambia wewe bila shule ungejua kuandika? (Kwani maandishi yamegunduliwa leo baada ya huu upuuzi wa elimu ya darasani! Mabibi na Mababu uko walijua kuandika na wala hawakuenda shule)

Mambo yapo mengi nitarudi baadae, lakini watu wanapaswa kujua

ELIMU YA DARASANI INAELEKEA KABURINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK
Magari, Computers,Ndege za abiria, hospitali , madaraja, majengo makubwa, madawa, teknologia etc yote haya ni zawadi ya watu waliotumia elimu zao vizuri...
Tatizo sio elimu issue ni kusoma na kuelimika, elimu inatupa namna na uwezo wa kupambana na mazingira yanayotuzunguka...
Usibeze elimu ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
OK mbona bongo tumesoma lakini hatujagundua hivyo vitu?
 
Habari zenu wanajamvi naamini nyote ni wazima.

Nina Imani wewe unayesoma habari hii umeshapita darasani ama ni mwanafunzi kwa Sasa.

Lengo la kuandika habari hii sio kwamba ni kuwakatisha tamaa, Kama umeamua kusoma soma, usikate tamaa kwani hakuna walimu, madaktari, rubani, wahandisi, wanasheria, bila kupita DARASANI .

Japokua wasomi wengi humu mtanipinga kwa sababu mmepitia elimu ya vyeti lakini hamna elimu ya ubongo,ngoja niwape hasara ya elimu ya vyeti.

1.Kwanza huchelewesha maendeleo mf. Umesoma darasani miaka ishirini tano tangia shule ya msingi Hadi chuo kikuu fikiri alieacha shule nakujiunga na biashara Leo hii yeye ni tajiri, na Ana uwezo wa kuendesha biashara, lakini msomi na vyeti vyake ni mwoga wa kuanzisha biashara pamoja na kuibiwa, Licha ya hivyo una taaluma na utalaamu wa kukariri ambapo hata ukipewa ulichokisomea huwezi kukifanyia kazi,

mf. Mwalimu anafundisha kipenyo cha duara Ila hawezi kukitumia kwa kutengeneza kisima cha duara, lakini fundi ambaye hakupita darasani Ana uwezo wa kupima kipenyo na kutengeneza kisima cha duara na kukadiria ujazo wa kisima hicho.

2.Kutojiamini.wasomi wengi hawajiamini Bali wasio soma huonyesha upeo walioko nao kwa kuutumia ambapo unatoa maendeleo chanya, mfano akiamua kulima analima kweli, akiamua kufuga anafuga kweli, ndio maana watu Kama hao wanamiliki mashamba na mifugo wengi, lakini msomi Kama afisa kilimo unakuta ni mrembo analalamika hakuna ajira wakati mashamba na mifugo ipo Ila anasubiria kazi ya kuajiriwa, mhasibu anaweza kujiajiri kwenye biashara ya mtaji mdogo hata ya kuuza karanga lakini kwa kuwa anatetea vyeti na woga wa elimu yake hawezi, anabaki jasiri ambaye hajasoma anatembeza na anatoka kimaisha.

3.Uvivu. wasomi wengi ni wavivu kwani mda mwingi huutumia darasani bila ya kufanya kazi ili hali aliyeko mtaani ana stamina na uzoefu wa mtaani ambapo akiamua kupiga kazi anafanya kweli kwa kuhimili kwa mda mrefu.

4.Hupoteza kipawa au kipaji cha kuzaliwa . Wapo watu wengi wamepoteza vipaji vyao ambapo Leo hii ungelikuta wao ni mabilionia lakini darasa limewaharibia ambapo wa mtaani hutumia vizuri KIPAWA NA KIPAJI CHA KUZALIWA ambacho huwapa mamilioni au mabilioni.

5.Huharibu afya na akili kwa ujumla. Kumbuka aliyegundua shule hakusoma Ila alitumia akili ya kuzaliwa kuanzisha shule, fikiri hata mtu wa kwanza kupata PhD duniani alipata elimu kutoka kwa mtu wa kwanza ambaye hakufundishwa na mtu bali akili yake aliyopewa na Mungu, ambapo shule huharibu afya ya mtu kwa kumpa msongo ambao ni hatari kwa afya kwan hakuna kitu kinachomaliza afya kama kuwa msongo wa mawazo, kwani shule haina tofauti na jela kwasababu unatakiwa utii bila kupinga, kuna mavazi kama jela Licha ya chuo kikuu, Kuna muda maalumu na unatakiwa ufuate mawazo yanatolewa bila kupinga unakula kwa ratiba maalumu na kulala kwa mda maalumu ambapo usipotii unapewa adhabu Kali ama kufukuzwa .

6.Kuajiriwa . Wasomi wengi hawawezi kujiajiri bali huajiriwa na wasio soma mfano mzuri wamiliki wengi wa shule binafsi, biashara kubwa na viwanda ni watu waliokata tamaa na shule na hawakumaliza na ndio wenye maisha mazuri kupita wasomi, na huwaajiri hao hao wasomi kwenye makampuni yao kwa kuwalipa mishahara na unakuta hela yake alianza kwa kuuza vitumbua

7.Elimu ya darasani kubadilika mara kwa mara.Elimu huweza kubadilishwa na mtu ambaye hata hajasoma ilimradi ajue SIASA kidogo tu ambapo huyo huyo kachaguliwa na msomi ambapo KUBALISHWA KWA ELIMU NI KUHARIBU ILI PASIPATIKANE MSOMI WA KUKOSOA MADARAKA kwani kumtawala msomi ni rahisi kuliko kuongoza mjinga kwani Ana uwezo wa kujitoa mhanga kwa kupinga Ila msomi ni mwoga kwa sababu elimu siku zote ni utii pamoja na woga.

Niishie hapo kwa kusema ((being an educated man being a foolish,AND being a business man being an animal. ENJOY YOUR DAY.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point sana.

Hoja ni kuw unapoenda ktk mfumo wa shule za darasani, unaandaliwa kuja Kutekeleza mawazo ya watu. Hile nuru ya ndani na nguvu ya utendaji Inakuw imefungwa ktk ajila.

Ndio maana vijana wakikosa ajila, ataona life haliendi.

Sasa huyu ambaye hana chance ya kuwaza kuajiliwa, ndani yake, anawaza maisha. Hii itaibua vitu vingi ktk process.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK

OK mbona bongo tumesoma lakini hatujagundua hivyo vitu?
Bongo tumejengewa mentality yaku soma'' ilituajiriwe'' na mtaala tunao tumia ni wa before Christ (B.C) we are still live on what aristoto, plato thought education and education system could be could be, ila kwa mawazo yao at that time yalikua yanaendandana,,,, according to dewey's(1916)
In Dewey’s philosophy of education, we see a close link between a
child’s life and his experiences as a continuous process, which he regards
as the aim of education. In this way, education has the scope of
equipping a child with social competence. Unless this link is made,
education is useless. Dewey sees a strong correlation between
interaction and continuity of experiences. It is through interaction
that a child brings in experiences from society. Because of such
continuous interactions, environments are created. These
environments are the elds in which situations and conditions interact
with personal needs and purposes, and create life-long experiences.....kama mwaka 1916 wenzetu walikua wamesha pata maana ya elimu sisi its now 2020 tuna fanya imitation ya plato an aristoto bila kuangalia nyakati
 
Daa mitaala yenyewe inabadilishwa kila siku lakini bado wanafeli aise

Hapa ni mziki Kwan mtu akishamaliza chuo hawezi kupambana na kitaa Bali kuchanganyikiwa tu.
Umeongea point sana.

Hoja ni kuw unapoenda ktk mfumo wa shule za darasani, unaandaliwa kuja Kutekeleza mawazo ya watu. Hile nuru ya ndani na nguvu ya utendaji Inakuw imefungwa ktk ajila.

Ndio maana vijana wakikosa ajila, ataona life haliendi.

Sasa huyu ambaye hana chance ya kuwaza kuajiliwa, ndani yake, anawaza maisha. Hii itaibua vitu vingi ktk process.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu umetisha sana kiongozi naomba uwaambie kwa mi nimesema nikaonekana Kama nawaonea.
Tatizo hapa lipo kwenye kulishana matango pori darasani, eti elimu ya darasani kumbe ni UPUUZI MTUPU

hivi kwani kuenda darasani ndio tunapata wasomi? Kwani usomi ninini?

Miaka mingi sana mtu unaipoteza darasani kwa kitu kidogo sana ambacho ungepewa kwa muda mchache tu inatosha kukikamilisha

KUNA WATU TANGU PRIMARY SCHOOL WANASOMA KIINGEREZA MPAKA PhD (hahaah et elimu ya PhD) NA HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA. (hii inaonesha wazi udhaifu wa elimu ya darasani)

ELIMU YA DARASANI NI KUPOTEZA MUDA WAZI WAZI

Eti mtu anakwambia wewe bila shule ungejua kuandika? (Kwani maandishi yamegunduliwa leo baada ya huu upuuzi wa elimu ya darasani! Mabibi na Mababu uko walijua kuandika na wala hawakuenda shule)

Mambo yapo mengi nitarudi baadae, lakini watu wanapaswa kujua

ELIMU YA DARASANI INAELEKEA KABURINI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Truly said
Watu wote duniani wangelikua wa somi maisha yasinge wezekana.
watu wote duniani wangelikua hawaja soma maisha yasinge wezekana..
Hivyo basi duniani tuanishi kwa kutegemeana na ndio maana hata wasomi wenyewe waliopo wana fani tofauti tofauti lengo huyu akijua kile huyu anajua hiki ili kila mmoja atatue tatizo la mwenzake.
Hivyo basi wasomi wana umuhimu wao na wasio soma nao wanaumuhimu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri waliogundua vitu vyote walienda darasani wakati mwingine ni intuitive knowledge
Education can Be useless depend on wrong expectations person had on it ....Education is Just a framework for your expectation...one of the reason to why most of people find education useless is when what they thought come to wrong expectation....elimu sio kama ndege inayo endeshwa bila rubani au garilinalojiandesha bila dereva !!! education is potential energy or raw material which need conversion to product of your interest na tunapo ona elimu ni useless niapa pa ku convert education to either money ,job or any thing of our interest

Kutokuajiriwa aibadilishi umuimu wa elimu!,
how do you define maendeleo?,
There is no way you can deny Education ... we have expertise kama vile pharmacologist, biochemist, virologist etc hawa huwa wanausika na drugs discovery , development,design, let say nao wange kuwa na mawazo kama yako ..chukulia mfano wa magonjwa kama HIV,EBOLA, ZIKA, polio ambao kwa juhudi na tafit wanazo fanya wakiongozwa theories (elimu), now we have ARVS, na chanjo mbalimbali. Just imagine ingekua No Arv, No Antibiotics , No Vaccines za magonjwa mbalimbali ,No Mobile phone, No Tv, No electricity, how could we liv......

There is a moment money inakua aina maana some of stupid people used to say " money is every thing" let very body angekua biz find money no education take a look HIV ilivyo ingia East Africa before ARVs just imagine watu walivyokua wanakufa let say ao ma scientist (am not talking about Doctors,pharmacist or nurse) is about biochemist , Virologist, Pharmacologist and and other actual scientist , wange just say oo education is useless HIV ingekua imeua wangapi now kwa tz now people can liv for more than 20 years with HIV maambukizi yamepungua pia all these ni juudi zawasio kataa tamaa nakuona opportunity palipo na tatizo ndo maana sometime najiuliza why Africans we are still behind nikagundua kuwa sio kwamba tumelogwa bali tumejiloga wenyewe kwanzia tunavyo waza wavivu wakua problem solver...ivi unazani alie tengeneza bulb akuenda darasan ? au alie tengeneza smart phone akuenda darasanan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri waliogundua vitu vyote walienda darasani wakati mwingine ni intuitive knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
exactly ! embunipe mfano wa scientist yeyote ambae alie gundua remarkable device/ technology bila kupata foundation, theoretical class pia kumbuka ugunduzi ni creativityor ni product practize and modification of what you have learn to solve different problem in different ways .... elimu ina msaidia uyo unaesema ana tumia intuitive knoledge, kugundua udhaifu wa system ya elimu tuliyo nayo nakumwezeza kuja na new ideas (kugundua kitu).. after kuona these people walikua wana solve ili tatizo in this way let me do i another way.these people ndo tuna waita EXTRA ORDINARY PEOPLE........and they are so rare..if in our population we are all average people ( I'm not talking about classroom grading system.is abt creativity and inovation) ni lazima tuwe na education system ya ku memorize facts and theories ambazo zinatuwezesha kuraisisha maisha mfano daktari famasia mfano: dalili za ugonjwafulani, dawa yakutibu, je kama tusingekuwa na education system maisha yangekuwaje....pia binadamu atutakiwi wote tufanane tufanye kazi moja we are in ecosystem comprises of food chain and food web .....kuna wakati ela ina kuwa useles mfano mzuri ni uko china kwa sasa coronavirus inawasumbua let say kusingekuwa na ma pharmacologist, virologist, microbiologist, immunologist ,biochemist ambao walisoma ambao for now wana angaika kutengeneza chanjo, na sio corona tu apa africa ebola imeua watu kibao waka angaika waka pata chanjo n.k sometime guys we need to views this in all dimensions
 
Hao hao wataalamu ndio wanaotengeneza ebola ukimwi na Corona hivi hio elimu imesaidia nini au sio maangamizi Licha ya hayo kadri sayansi na teknolojia inavozidi ndivyo kizazi cha kijinga kinazliwa according to Einstein kwani leo hata uliize 1+2 lazima mtu angaalie kny calculator ona hawa waliotueletea hii elimu ya darasani inavomaliza ubongo wa Afrika.Leo hii naona umewaamini kwani we mwenywe ni mhanga wa hii elimu

SASA KAMA WAMESOMA AWANA AJIRA WHAT NEXT...SIWANASEMAGA GRADUATE WATENGENEZE AJIRA? THAT'S WHY WANAONAFURSA WANATEGENEZA UGONGWA ILIWATENGENEZE CHANJO THEN WAUZE WAPATE PESA....unazani HIV ainadawa ushajiuliza y ? wale tayari wamesha pata soko lakudumu that's why ARVS zipo iliwatu wanunue wapate pesaa,.. nasio kwamba awawezikutengeneza cure..... coz wakitengeneza watauwa soko .....
 
Back
Top Bottom